Latest Episodes
HATUA 6 ZA KUONGEZA UFANISI KIPINDI UNAPOPITIA STRESS
Habari Rafiki, wiki hii tunaenda kufahamu hatua 6 muhimu za kufanya kuongeza ufanisi wako kipindi unapopitia stress. Karibu Kusikiliza
AFYA YA AKILI KWA VIJANA - DOCTOR RAFIKI AFRICA
Kipindi hiki kinazungumzia changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana — msongo wa mawazo, hofu ya maisha, presha kutoka kwa jamii, mitandao ya...
Maumivu ya mgongo kwa watoto na jinsi ya kukabiliana nayo.
Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, wiki hii unaenda kuungana na wataalamu wa mazoezi tiba, Emmanuel Jacob na Daniel Materu tunapozungumzia suala zima la maumivu...
MAUMIVU YA MGONGO KWA WAJAWAZITO
Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, tunapoangazia suala zima la maumivu ya mgongo kwa wajawazito, Karibu kusikiliza.
NJIA ZA KUKABILIANA NA MAUMIVU YA MGONGO
Habari Rafiki, karibu kwenye episode nyingine ya Doctor Rafiki Africa, na wiki hii tunazungumzia njia za kukabiliana na maumivu ya mgongo. Ni furaha yetu...
Nini kinasababisha maumivu ya mgongo ya mara kwa mara
Je, unakumbwa na maumivu ya mgongo mara kwa mara? Katika video hii, daktari wa mazoezi (physiotherapy) Emmanuel Jacob ndani ya Doctor Rafiki Africa ataeleza...