Karibu kusikiliza episode ya 02 ya DoctorRafiki, na wiki hii tukiendelea na mada yetu ya 'Afya ya Akili kwa Wanaume', tukiangalia sasa changamoto katika kutafuta msaada na nini kifanyike.
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukizungumzia suala zima la Kujiua. Ungana nami Dr. JulieT Sebba, tukizungumzia kwa kina suala hili.
Habari Rafiki, Fahamu njia 05 za kutunza uzito sahihi. Karibu ungana nami Doctor Julieth Sebba, MD.
Karibu kwenye kipindi cha Dr Rafiki na wiki hii tukiendelea na episode nyingine tukizungumzia 'Namna gani unaweza kumsaidia Mama mjamzito mwenye sonona' tukiwa na...