Habari Rafiki, Fahamu njia 05 za kutunza uzito sahihi. Karibu ungana nami Doctor Julieth Sebba, MD.
Fahamu kwa kina kuhusu lishe kwa wagonjwa wa moyo na presha na Dr. Juliet Sebba na Dr. Martha Kungu
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuhusu Watoto Njiti. Unafahamu nini kuhusu watoto njiti? Kuna shida gani inayosababisha kuzaliwa kwa watoto njiti?...
Karibu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki kusikiliza na kujifunza kuhusu lishe kwa wagonjwa wa kisukari. Ungana nami Doctor Juliet Sebba pamoja na...