Fuatilia episode mpya kutoka kwa Doctor Rafiki kuhusu 'Chanjo'. Tukielezea maana ya chanjo, faida zake na umuhimu wake katika jamii. KARIBU
Karibu kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukijifunza kupitia maswali na majibu kuhusu ugonjwa mpya wa Mpox ukiwa daktari wako, Dr. Juliet...
Ungana nasi kila wiki katika kujifunza na kuboresha Afya yako na jamii inayokuzunguka kutoka kwa wataalamu wa afya.
Karibu kwenye kipindi cha Dr Rafiki na wiki hii tukiendelea na episode nyingine tukizungumzia 'Namna gani unaweza kumsaidia Mama mjamzito mwenye sonona' tukiwa na...