Habari Rafiki, karibu kwenye podcast yetu ya leo na wiki tukiendeleza mada yetu kuhusu Chanjo ambapo tutaangali kwa kina utaratibu wa chanjo Tanzania. Karibu kusikiliza na kujifunza pia
Usisite kutuandikia swali na maoni yako kuhusu podcast zetu.
Habari Rafiki, tukiwa tunamaliza mwaka, haya ni machache ya kuzingatia wakati huu wa sikukuu; Usalama Barabarani mwisho wa mwaka. Ungana nami Daktari wako Dr....
Mwisho wa mwaka huleta changamoto nyingi kama presha ya kukamilisha malengo, mawazo ya mwaka mpya na mambo mbalimbali. Karibu kwenye Doctor Rafiki podcast kujifunza...
Ungana nasi kila wiki katika kujifunza na kuboresha Afya yako na jamii inayokuzunguka kutoka kwa wataalamu wa afya.