Karibu katika episode ya tatu na Doctor Rafiki Katika mada yetu ya Chanjo. Episode hii tupo na mgeni Dr. Irene Mageni ambapo kwa pamoja tunaenda kuzungumzia changamoto za mwili zinazoweza kutokea baada ya chanjo na jinsi ya kukabiliana nazo.
Hii podcast inazungumzia juu ya kansa za utotoni, ikiwemo uwezekano wa kupona na kuendelea na maisha yenye afya. Utasikia shuhuda kutoka kwa Kelvin Kashaija...
Karibu kusikiliza episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukizungumzia suala zima la 'Afya ya Akili kwa Wanaume', tukiwa na Dr. Frank Kiwango.
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukiendelea na mada kuhusu Watoto Njiti. Je, unafahamu kuhusu Kangaroo Mother Care (kmc)? Inafanyaje kazi? Kufahamu haya...