Hii podcast inazungumzia juu ya kansa za utotoni, ikiwemo uwezekano wa kupona na kuendelea na maisha yenye afya. Utasikia shuhuda kutoka kwa Kelvin Kashaija aliyewahi kuugua kansa akiwa utotoni, akielezea safari yake ya matibabu, changamoto alizokutana nazo, na jinsi alivyoshinda ugonjwa huo.
Je, unakumbwa na maumivu ya mgongo mara kwa mara? Katika video hii, daktari wa mazoezi (physiotherapy) Emmanuel Jacob ndani ya Doctor Rafiki Africa ataeleza...
Katika kipindi hiki, Doctor Rafiki anazungumzia ongezeko la mafua katika jamii kipindi hiki cha msimu wa baridi na mvua. Utajifunza visababishi vikuu vya mafua,...
Karibu kwenye episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wiki hii tunaendelea kuzungumzia ugonjwa wa kansa ya Matiti, tukielekeza macho yetu kwenye changamoto za ugonjwa...