Episode Transcript
[00:00:05] Speaker A: Hi rafiki, mambo vibi. Naitwa Juliet Seba ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Karibu unganenami katika podcast hii ya afya rafiki kila Siku ya Alhamz. Lengo ni kupati ya tarifa stakazo kwezesha kufanya mamuzi bora yue afya yako, familia na jamiina ya kuzunguka.
Kumekua na changa moto kubwa sikuizi kwenye sua lazima, la mugongo, tunasikia watu wanaalamika, mugongo nauma, mungine mugongo nauma kila siku, mungine maumibu ambale yanarugi kila badaya muda, au ata yanafanya mtu ushundo kufanya bitu kia kubwa ufanisi mtu hawezi kuinama na vitu vingine. Kwa leo totaenda kuzungumza utajua leo visababishi vina usabishi haya maumivu lakini pia utaenda kunyua tatizo ni nini, kitu genu na wezo ukafanya. Na leo ni kuna daktari wa mazoe zitiba yani physiotherapy Emmanuel Jacob kutoka Moi. Karibu sana.
[00:01:07] Speaker B: Asante sana daktari Juliet.
Namini tutakona wakati mzuri, tukijifunza, nyuyanini hasa kinaasababisha maumivya mgongo, lakini pia tutaangalie kwa upana kidogu huusiana na athari za maumivya mgongo. Kwa na wakaribisha wasikiri zaajie wa dr. Rafiki, karibu sana kutufuatiria.
[00:01:34] Speaker A: Asante sana na, mimi naitua Juliet Saber. Tuko tunaendelea. Sawa, sasa tukienza kuongea, dokteri, tungependa kujua kwanini sasa hivi tunahona hili tatizo ala maumibu ya mugongo tunaliona kwa atuwengia, umalalamiko ya naongezeka.
[00:01:52] Speaker B: Yes, nikweli kabisa kama ambavyo unasema tatizo la maumivya mgongo ni halisi Labda tu nikireflect kutoka kwenye eneo la kazi inalofanya Nikweli tunahona idadi kubwa ya watu wakilalamika na maumivya mgongo Na kwenye idadi tunahona makundi mbali mbali na acha kushangaza zahidi unezo wakahona sasa tunahona mpaka watoto Siyotu hile liyo zoeleka kwa mieka mingi, tutuonohona homba maumivya mgongo ni kitu homba shuki na wakuta watu wazima uweze. Na saivii hata watoto. Sasa disababishi viko vingi, labda ningeaza kuthusianisha kwanza na sababu za mtu binasi na sababu za kimtindo wa maisha Kwa katika maisha turionawa sasa. Sababu binafsi inaeza kuwa ninamna ambayo tunaishi maisha yetu ya kila siku. Kuna mtu wanafanya lakba kazi zake zinausisha kuinama mdamrefu, kukamda mdamrefu, kunyanyua vitu kuwa namna ambayo siyo sawa na vitu wa mbao vinaeza vikaingia kwenye mtindo wa maisha ni kwa mbao ulaji, labda ulaji, si ulaji ambao tu meuzoe, kipindisha nyuma hao, watu wanakula viakula vinyema futa, kwa wanakuta familia, wanauzitom kubwa, wana mabonjo mpingine nyemelezi kama high blood pressure, sukari, kwa unaona kabisa hiyo ni kundi moja, lakini jambo ngini ambayo neneza ni kari sema kama kisababishi ni namna ya mazingila ya kazi tulionae. Tunoona sahivi tunaishi kwenye mazingila ambayo. We are very stressful. Mtu unafanya kazi kwanza ya asubuhi mpaka jioni. Kwa unaona ni masa mingi ya kufanya kazi. Lakini mbali na tu kufanya kazi ya ina ya kazi pia. Unafuta ni mtu mba ya nakaa na anafanya kazi zaki ya kia wamekamda mbrefu, awa anafanya mungine anafanya kazi ya kia inama, ananyanyuwa vitu, vizito, kwa huu naona kabisa, kwa mba hili ni eneo lingine, lakini sababu nyingine tuleza tuka sema kwa jemia sasa Tulela tuka usianisha na uelewa pia umeongezeka, watu wanaelewa zaidi na unaile harm na shauku ya kutaka kujua nini, haa saki naendelea kwenye mili hao na hiyo inafanya kwamba watu wengi, waji hospitali na kwenye mazungira hospitali kuweli tunaona watu wengi wakilalamika na maumivu Na masante sana.
[00:04:36] Speaker A: Katia vitu ambawe umegusia ni sualazima kazi na shugu ya mbazo tunafanya siku hizi. Mfano, daktari ni makundigiani au profession gani za kazi yambazo watu wanaweza wakawa kukwenya atari zaidi? Mfano kama watu wanaokamda mrefu, kwenye profession gani watu wanaweza wakawa kukwenya atari zaidi?
[00:04:55] Speaker B: Yeah, kwenye makundi haya, tunahezwa tukaziweka kwenye lile kundi la bao kingeleza, tunahezwa tunasema ni White Collar Job, watu wa mbao, kazi zao basically ziko ni ofisini. Kwa mda mwingi wanatunia ofisini, hakuna mda wanafanya movement zozote, unakuta ya mengi ofisini labda nisa ambili, ya mtoka saa kuminamogia, lakini yako katikati mda mwingi ya metumia wakii wamekaa kwa mfano wanaofanya kazi bank, kwa ngine wanaofanya kwenye ofisi, hata za serikali, tunaonambo wanatumia mda muingi wakii wamekaa haya ni mokundi ya wabunjwa mbao tunaudumia na tunahona kwa kia wangotiku Ni kumbushe.
[00:05:40] Speaker A: Makundi mengine kwa mtu ambayo na tusikiza watu pia ambayo wanaendesha wale madereva wa masafa marefu na ualimu. Pia case nyingi pia tunaziona kwa ualimu kwa sababu ya kuna ile posture flani ya kubao. Sasa ualimu wetu wazazi wetu ambayo onyo ya umefundisha kwa ubao. Na kumbuka wakati niko kwenye wakati bali unasoma udakita ripest degree Tuko tunawana kesi nyingi sana za walimu, tuko tunawana kesi nyingi sana pia za polisi, kwa thabtu ya hile nature kazi zao ambazo wanafanya. Sasa daktari, tukienda pia hatua, kitu kingine ambacho umetajia kama abisabishi ni suha wa zima chakula kwenye mtindo wa maisha. Ni vitu gani ambavo vinesa vikawa vinasababisha mtu anakuwa atariniza idipata imaumibia mgongo? Abida kuna virutulishwa ambavo mtu anakuwa mekosa? Au kuna vitu gani mtu anakuwa mekosa?
[00:06:41] Speaker B: Yes, kuwanza natoka nianze kuweleza kwa lamna iye mbawa itaeleweka kabla sigia jibu sula po moja kwa moja kuwamba maumivya mgongo enye kama maumivya mgongo ni dalili ambo inaashiria kuwamba kuna kitu hakiko sawa kwenye mwili Kwa naamna kwa mba ili upate maumivu kwanza tu kianza kuyasema maumivu kama maumivu yenye ni kwa mba ni maumivu mba ya nakuwe po labda same ya nyuma ya mgongo au chini kiunoni na mbala nyingine ya naeza ya kawa ya nausisha same mmoja ya mguu au same nyingine mtu wakasikia kama vitu vina wakamoto wakaona kama vitu vina choma choma kowe ganzi aina hiyo ya maumivu Haa yote ya nashiria kuta kukundi kwa mfano la watu wazima kwa mbao kuna kitu kwa jemuli haki kusaa na hiyo ni moje kwa moje kwa watu hao ukiwasikiliza kwa makini ukiwa na wauliza hata kwa ambia Daktari mimi nilienda nikafanya MRI lakini nasikia. Daktari yaka niambia kwa mba pingilizangu zimesagika au zimerika au zimesogea au zimepishana. Kuna ezo kaona kabisa konyerugia eksayansi ya kumajina mboya naashiria his conditions. Lakini kwa sababu ya ruga ya kumualimisha mtu wa mbae hana maalifa makubu wa unakuta tunayalimisha kwa ruga hiyo kwa mba uchakavu au kupunguo kwa ubola wa mifupa. Yasa narudi kwenye swala huko. Iri wimala wa mifupa uwe kwenlazima watu wana Kwa hivyo kwa hivyo.
[00:08:53] Speaker A: Okay, saa, saa. Musa, dakteri, tukipigia atu ambele kwenye asari za haya maumibu ambayo mtu anakuanayo kwa mdamrefu. Mungine hameanza kuhumwa mgongo na miaka thilathini. Huko badu hanafanya kazi na kuna hile pia mtu hametoka kujifungua kwa sabi ya mambo ya uzazi hameanza kuhumwa mgongo. Na kila siku wanaumwa mgongo. Kila siku wanaameza pana do mdamrefu. Haya maumivu ya nakuwa na atharigiani kwenye maisha ya mtu?
[00:09:27] Speaker B: Yes, maumivu ya kioepo bila kupata matibabu, ya naeza siutumbali na hile kukuathiriki mwili we mwenye kuwa na iyo feeling ya discomfort Kwa mba naumia, kila siku naumia, ila maa tunaona kibwili unahathirika Hakini tunaweza tukoona pia hata kijemii kwa sababu ya maumifaya, uwezi tena kuenda ofisini kama Oliver's Ware, kwa hutaitaji some breaks hapu wa utoke, uwende hospitali, urudi, kwa unaacha masingila kazi kwa njiri ya kuenda kutafuta wa matibabu lakini tunaona mbali na kukwasiri kimweli, jamii lakini hata kitabia bia, kuna vitu vina kukwasiri, yu kuwa tu na feeling kila siku ya komba, naumia na maumivu, ina kufanya uwe na kitu ya zema, kila siku kutokia kitu kidogo, tayari, kuwa tayari mdoyali maumivu, au kuna shida kwenye mweli, au kuna kitu waki kosao Unaona kabisa maumibu, unakaa kwenye hofu flani yambo ina kufanya usiafraie maisha na usifanya kazi zako kwena mnamba inapasa na inafaa.
[00:10:40] Speaker A: Sawa. Na GHI ya maumiku ya mugongo, kuna jinzi ya mbabo ya naweza kuleta athari kwenye mwili ya athari nyingine. Mfano kuna kitu referred pain, yani kwa mba mtu wakawa na umuwa mugongo kwa mdamrefu na kusawabu hauja tibiwa, ukastababisha tatizo lingine. Yes. Ni vitu ganibinaweza kutokea?
[00:11:02] Speaker B: Yes, labda tu usianishe, mtu alamu pata maumivu kwanza maumivu ya sipo pata matibabu ino maana nabadilika kutoka kwenye yele kuwa ni maumivu katiu kuenda kwenye maumivu wamboe na jirudia rudia na maumivu wamboe hapo tu konwa ni sungu sasa hili jambu lipo tu hali yondoki konwa kila siku mimi haa na umwaga umboe mkowangu baana una ule shida. Kuna hiza ukaona kabisa. Kwa mba kuna haji ya kutafuta matibabu kwa maumivu yanayoi jitokeza. Lakini eh tu tu rodi hapo hapo. Kuna kitu kingine ya basho ni muhim eh jamii inayotu sikiriza ikieleo. Kwa mba eh maumivu eh no ya pata yanathiri pia utendaji kazi wetu wa kibuli wa kila siku. Kama ninafata maumivu ya mgongo inamana siwezi Kuukaa kwa masaa mawili, utakuta kuna discomfortu, utakuta kuna vitu zingine siwezi kufanya, laba kutembea umbali flani, laba utakuta kuna namna siwezi kuinama, hizo zime toka kwenye maumivu lakini zime uwathiri mwili kwa kiongo kikubwa na mbala nyingine zina tengeneza hata hofu, yanu nakuta kwa mba, kwa sababu mgonko unaumaga nikinama kwa una tengeneza hufu ya hile 10 dolar kuinama kwa mba sitaki tena kuinama kwa sababu nikinama nita, nitaumia zaidi. Kwa huneza ukaona, namna mtu mwenye maumifu wana tembea, nitofoti na mtu wa siya na maumifu wana votembea Weza wakuta pia ikadeviate yata na mnaya kuwa kutembea. Hasa zote hizi ni athari za kimuli yambazo hatutaki mtu najamihi yambayo nyingine inapaswa kufanya kazi zake na njiafurahia waisha. Iwe kwenye situation kama hii. Yeah, yeah.
[00:12:57] Speaker A: Sante daktari.
Sasa kitu ambasho pia ni mekinote hapo wabda ni mkumbushe mskiza jiuetu. Kwa inaweza kuathiri kwa daktari ambavo nikijaribu kusamahazi inaweza kuathiri utelaji kazi wako. Inaweza kuathiri uzali shaji wako wewe kwenye jamii na ikaathiri hata familia au wale ambao wana kutegemea. lakini pia inaweza kuwathiri wewe afya yako, hata afya yako kiyakili kwa sabi ya hofu, wasiwasi, maumivu. Nasa ingi unakutatu mtu anastress mdavote, amekasirika mdavote, yuko agitated unasuma kingeza, anatafrani mdavote kwa sabi mtu sasote mtu anakuakunye maumivu. Ni kumbushe kitu kimoja pia kwa mba matumizi ya hizi dawa za maumibu wa huti na sema anti-pain, whether ni Panadol, ni Diclopal, ni Brufein, au dawa nyingine yota mba mtua natumia kwa jiri ya maumibu ya mgongo. Matumizi ya hizi dawa kwa muda mrefu, siyo salama. Na ya naweza kuleta shida kwenye figo, ya naweza kuleta shida kwenye ini, ya ka-complicate, kutengeneza shida kubwa zaidi. Kwa hiyo, Mbali na zile athari yamba zo mtu wanapata kutokana na maumibu mwenye nyewe lakini pia kuto kupata tiba ya sahihi mtu wakatumia penkila kwa mdamrefu na nyewe inaleta shida inaweza kumlete atatizo nyingine kubwa zaidi ya mdamrefu na ambasi nashukuru sana kwa mskiza jamba yamekuwa na sisi leo na Kipindi kina chofatia, sisa tutaenda kuzungumzia. Leo tumeongelewa visababishi na athari. Kipindi kina chofatia usikose, tutaenda kuzungumzia. Minini sasa ufanye? Taari unaaya maumibu ya mbongo? Au labda bado hauna maumibu ya mbongo lakini unaona uko kwenye ziwe profession. auzile kariya ambazo ni hatahari kuwako unakamda mrefu, unasimama mdamrefu ambazo zinaweza zika kuhitarisha kuweka kwenye kundili la watu onye maumibia mgongo ni vitu gani ufanyi ili kujilinda au kuvibiti usipate na kama tari unayo basi ni nini ufanyi chakukusaidia kukabiliana na aya maumibu. Kabla hutunjia maliza, daa tari unajambolo lote kumalizia kwa leo?
[00:15:17] Speaker B: Yes, waba ni mshukuru mskiriza juhetu lakini kama tulivu sewa, jamii watu huduma wa afya linguletu ni moja kwa mba tu mtoe mtu na hisi maumivu hasi jisikia maumivu tena na hii ni kama unabolesha eh maisha yaki kwa kiwangofi kubo kutu na yasa nje mii kome neze kana unamzazi kule unamzei yuko kijijini eh na kila siku wamekua kilalamika na maumivu eh na unamuacha tu konyi yu hali si o kitu kizuri neza kupijengia hata uyumze ya kaza kujiona Sasa hii ni shida yangu donna yotu lakini kumbe ungefika hospitali ungepata matibabu na shida ika pungua na bazi ya thari kapa tuifo zungunza zika zidi pungu. O, asante saa.
[00:16:16] Speaker A: Asante sana. Asante sana kwa fuwa na sisi. Ini Dr. Rafiki Afrika. Uki ingia YouTube, Spotify, Moonplayer, or Apple Podcast. Andika Dr. Rafiki Afrika. Uta tupata na utapata kujifunza wichu vingi sana ambapo tumekua tukifiongalia kwa mwa kamzi mo yopita atukiwa tunaongea na madakteri wa afya. Akikisha, subscribe, share, comment, andika pale swali lako. Kama wewe ni mtu ambaye unapitia changamoto ya maumivi ya mugongo, tuambie ni muda gani sasa umeku ukipitia hii changamoto, hili anza anza aje, na daktari ya taweza kuona na utaweza kupata usha uri. Karibu sana na tuanane kimili ki jachu.