Episode Transcript
[00:00:05] Speaker A: Hai rafiki, mambo vibi, na yuto Juliet Seba ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Karibu unganenami katika podcast hii ya afya rafiki kila siku ya alhamis. Lengo ni kupati ya tarifa za kazo kwazesha kufanya mamuzi bora yu ya afya yako, familia na jamini na kuzunguka.
Hai rafiki, wiki lopita tuliongea vizuri kusubisababishi vya maumivi ya mugongo. Kwaso sasaivi watuwengi sana wanangaika na maumivi ya mugongo. Nangikumbusha tu muji apa vitu tu yuboviongea ni sua lazima la mtu ndoyo tuwa maisha. Kwanzia ahina achakula tunachokula, kama jie kinavirutubisho vinavotakiwa. Ukisaka kubijua, rudi kwenye episodi lopita kule YouTube. au Spotify, Boomplay, andika Dr. Rafiki Afrika utaweza kusikiliza episode muzima na utajua visababishi vingine vya kimazingira, mtu ndo wa maisha, kazi haina flani ya kazi ya mbazo zinakuweka atarini na athari ya mbazo zinaweza kutokea kama usipo pata matibabu ya haya maumivi ya mugongo wa mdamrefu. Lewa tunapigi atuwa mbele saidi sasa kujua Namna ya kukabiliana na maumivu. Wewe ambaye taari umekua kwenye maumivu ya mdamrefu. Wewe ya mesebabishwa na kazi, ya mesebabishwa na ugonjwa, ya mesebabishwa na vitu vya mtindo wa maisha. Au pia ni kama mama umetuwa kujifungua na umekua na maumivu kwa mdamrefu. Leo tutaangalia nini ufanyo kabiliana na ayo. Lakini pia tuta pigia ato ambele kuangalia Kama hauna maumivu ya mugongo. Na umesikiliza iwe episode ukaona uko kwenye lile kundi ambalo liko kwenye risk labda kutokana na kazi unafanya. Vitu gani unaweza kufanya ili usipate haya maumivu ya mugongo. Karibu sana. Leo tuko na daktari wa mazoezi tiba, Dr. Emmanuel Jacob. Lakini tumepata na mgeni mwingine, daktari mwingine wa mazoezi tiba, Dr. Daniel Matero. Karibu ni sana. Nafurahi sana kuwa na nyeleo na nanamini wa sikizaji wetu atayifunza. Sasa tunapuanza. Wikilopita tuliongelea komba kwenye maumivu, mtu anaeza kawa nasikia maumivu ya mugongo kwa mdamrefu lakini anaeza kawa ya nasababishwa na ugonjwa au ya nasababishwa na hizi lifestyle ambazo mtu anaishi. Sasa daktari tunaweza aje kutofautisha haya maumivu ya inambili. Komba either huyu ni ugonjwa au huyu ni lifestyle kituflani yanachofanya ambacho akikiacha maumivu yanaeza kakacha.
[00:02:42] Speaker B: Asante sana. Kama hivu nitaambulisha na hitu wa Daniel Imatero ni mfizoterapia. Kwa kwenda moja kwa moja kwenye bitu gena mbonza kutufautisha kwa mbahaya ni momivya mgongo yanayosababishwa na mtinduwa maisha au ambaye msababishwa kutukuana ugonjwa, fulani. Kuna vitu amba vitu na kwa kingenzi na vita lady flags amba vio kwa Njia nye pesi kabisa vina debu kuangalia hii shara ambazo zinaweza kuleta athali kwenye mwili mfano, mtu ambaye maumivya kia mgongo ya nasimbabishwa na ugonjwa Mfano laba ugonjwa ni kansa au ugonjwa nezekana ni mfungjiku wa mfupa, wapingiri, katika mgongo, mtu aneza kaza kupata ishara ya kuamba na shindu wa kuzuhia hali ya kubwa au wa jandogo kutoka na maumivwa ya mgongo. Ambayo hiyo ni dalili ya atari ambayo mtu anayapasu wa kuweza kutafuta msada walaka kwa harika ospitali. Lakini pia kitu chengida ambacho mtu aneza kakiangalia na kugubwa mapema kutafuta msada walaka Nipali ambapo wanaona anakosa nguvu, aunguvu za miguu zinapungua Yes, anayaputa nguvu zinapungua, lakini pia anakosa isia kwenye miguu na kushundo kutembea Kwa hiyo, hizo nidali mogya wapo, lakini pia aneta kata kuexperience langi za kucha na Meguzi nabadilika, zinaza kuhuwa la nginye usi Kwa inajibu kutonisha kwa hamba inawezekana kuna mshipa ya damu inatoka kwanye mgongo kujia hukuchini inawezekana imebanwa sehemu Kwa inaitajika kwa msada alaka iweze kuenguliwa ili ya weze kupata msada bizoli.
[00:04:32] Speaker A: Na kwa hiyo inamana hapa inaendelea kutukumbusha kwamba ukiona maumibia mugongo suchukulie too simple naize kawa ni kitu kikubwa zaidi ya ile tu kuumwa mugongo. Karibu daktari kuangezea.
[00:04:47] Speaker C: Yes, asante. Nafida kari ya metu pitisha kusiana na hizi ishala ambazo ni muhimu watu wetu wanao tu sikiriza wakizisikia. Mtu muingine kwa mfano ambaye labda hamevunjika kwenye pingili za huti ya mgongo kuna wakona kisababisha mwje kwa mwje labda hlikona fanya kitu flani kaa nguka huli kwenye boda boda huli kwenye nini hivyo ni vitu wambavo vina tuonyesha kwamba hui umtu kama hana maumivu wamekaa siku ya kwanza ya pili ya tatu wikimoje maumivu bado ya po na lile eneo Labba pamebadika langi, nipekundu, pamevimba, hizi ni daili ya mbozo na tunahishakomba hiki sio kitu chakawaida kinaitaji msaada walaka lakini kuwa vitu vinaufi uhusiana na kansa mwje kwa mwje naeza nikasema eh maumivu haya kupi na fasi. Yani umepata leo naisikia siya pain, usiku, kilala, maumivu ni makali, kuliko wa sumbui. Eh hii inakuambia kuwa kuna dalili. Si onzuri, lakini inakaa siku ya kwanza ya pili wiki, unohona haunangufu za migu. Ndini uwone kwamba, hiki ni kitu wambacho kina thiri mwili kuahalaka zaidi na kina hitaji, msaada walaka. Oni vizuri eh Ishala kama hizi na uwejitokeza inaizekana ni kuwako, aukuna mtu, nindugu wakaribu, ni muhim sana ukamuhimiza atafute msaada walaka kitabibu na uchunguzi Na kwa hiyo.
[00:06:24] Speaker A: Hapa mskiza hii tunapewa alert. Kumba siyo salama sana kusema, kumba ninaumwanga mgongo alafu naishi ya hapo lakini ni vizuri konda kufanyio utafiti kutafuta msaada kiafya. Kujua, hata kujua tu hali yako kumba, mimi mgongo naumwa. Ni kwa sababu tu ya mekaniko, wauzi ya shuguli na zofanya. Au kuna ugonjwa, kuna tatizo jingine nyuma yake. Hilo ni swala na muhimu sana kufahamu. Sasa tupigia atua. Kuna wale watu ambao tayari yu kukunyili kundi la watu ambao nasumbuyo na maumivu ya mgongo, hawa watu wanaweza kufanya nini? Nivitu gani mtu wanaweza kufanya ili kupata aweni au kuthibiti? Karibu, Dr. Daniel.
[00:07:09] Speaker B: Asante sana. Kama tu ligo tanguia kusema kutokana na bisababishi vya mtu vinavu msababishia kupata maumivu ya mgongo, Kwayo hata matibabu au nini yafanyi hili yaweze kupunguza maumivu au kuwetha kupona, inatofautiana. Kwayo sasa kwa mfano mtu ambaye maumivu yake ya mgongo ya mesababishwa na vitu ambayo tumibisema hapu nyuma kuamba ni utoka na ugonjwa fulani au utoka laba na mfunjiku wapingiri ya mgongo, itabidi yaweze kupata msada waraka kwa daktari laba ni wapasuaji kuwetha kuu. Kwaza kufanyopasuajili kwaza kupunguza ya shida ambo yimetukia kwenye mgongo Lakini pia kuna dawa ambazo sinaeza zikamsaidia kwa huyu ambayo ya amdokana na ugonjwa fulani Yes, ili kwaza kuzuhia ayo momifu Lakini satu kienda kwenye kundi, lapili, laole ambawo nabisababishi ambavyo havijulikani au vivyo tukana na mtindiu wa maisha wamba alikuwa alaba anainama sana au alikuwa anakaa sana. Kuo moja kitu wa mbacho andayo kifanya ni kuuweza kubadili mtindiu wa maisha. Ni nsidani anavi oishi na kufanya kazi. Kwa mfano, kwa watu amba wanafanya kazi ya kukaa muda mbrefo. Kwa yo, kitu wa mbacho kinuweza kikawasadia zaidi ni kwa muda wakila dakika 75 anapo kaa anaita kasimama haka jinyoosha kwena mna ya kwamba kupunguza tension kwenye pingili za mgungo pali. Yes, lakini pia kitu chingina mbacho mtu wazaha kifanya ni kweza kuwa na tabia ya kutembea. Kwa muda haka jekia malingo kwamba nataka nitembee katika nosusa, katika umbali fulani, katika umbali fulani, hili na msaidia kweza ku Kuuungeza mtsunguku wa namu katika eneo la mgongo Ndaba nafikiri pia mwanzangu anza kaungezea.
[00:09:12] Speaker C: Zaini Asante, wasikiza juhetu waba wa tusikirize na oele Kama ni maumivu wa mbaya natukana na sababu zina usikiana moja kwa moja na mtindo wa maisha Abazo ndo nyingi na hili ndo group kubwa Ndi muhim sana tuka fanya adjustment ya hizi tabia Kwa mfano walikua na zungumza kwa habali ya watu mpono wanafanya kazi yofsini Rabba ni anze tukunarete kidogo amba sinario yaote tuleza tukare tunafata picture kichwani wakuta mtu wanafanya labda kazi poster anakaa bunju au anakaa mbezi DNA wa mbalo unakaa, okay, kutoka, unapokaa, mpaka kufika wafsini labda unakuta hametumia masama wili haki wa balabalani Then ya mekujia, labda kusababu ya fuleni za hapa na pali ya mefika Tension kubwa, kazi, sukuyo ni nyingi, yuko kwenye pressure kujaribu kuzifanya Marize within deadline, unakuta hamekaa kwanza ya sambili mpaka giyoni Dene ya metoka jioni yapu wa mechoka, hafikiri hili wana lile na kangaiki na forenizaki, awai kufika nyumbani, ya mechoka, ya melala, kuhono hona kabisa ni mtindo wa maishi ambao Uko kwenye saiko hile hile kila siku ya maishi ambayo unakaa, kikia unatoka nyumbani, unakaa, ungea ofsini, unekaa, unerundi nyumbani, unelala Lakini tujahibu kuangalia pia eneo lingine, okay, nime toka, nime ingea, nime fika ofsini, niko inahali ya kuu Fanya kazi ni fikire deadline. Hapa katika tisina muda wa break yata kidogo, lakini pia kulayangu wata ukiangalia hayozi kawa chakula ambacho ni mepangiria kwa mpa leo natakaririni. Utasema yule anaye tuletea chakula, mwambia letea kiona vasi ata chips inatosha Mwana, kukigite hivi, matunda, itatoshe. Kuna huna kabisa ni mazingila ambayo, yanapressure fulani, yanastress fulani ya mazingila ambayo. Haya kuweki kuwa naafya. Sasa fikiri mtu wanakaa kwenye mazingila haya, yanafanya kazi miaka mitano, kumi, kuminatano. Ni mazingila yenye tu, yanakuexpose kwenye hali ya kupata changamoto zaidi. Lakin nataka tuangalie pia eneo lingine, kwa mfano, oke ni mekua ni kifanya kazi ofisi, of course ofisi ina vtv ofisi, lakin ni kile kile kiti, miaka vitano iliopita, sita iliopita, na watu hote onapewa kiti chedizaini moja, asia ukomba kuna standard specification kwa mbole ni mreform, fupi utapewa exception Ninasho kiona kwenye maisha kama haya, kuna ni muhimu sana kufanya jithihada zaki makusudi, zaku pangilia kwanza namna amba uvote endesha maisha yako, ukiwa unatoka nyumbani, unafika ofisini na hata baada ya ofisi vidogo vidogo vinafweza vikafanyika kwa mfano unoenza ukaanza kupanga na ukasema okay kila jumatatu wu kila jumatano unatakona paki gari mariflani natembea kutoka pali na end of scene au kila baada ya masama wili nitareka alamu kwenye simia konyiha ya masama wili nitasimama laba nitatumia ngazi kuenda gulofa ya juu na korudi unoona ni kitu wambacho Hata kama ujia pata munda wa mazuezi lakini ni habitsu yenye ya mboi mekufanya, kidogo ushugulishe mweli na kidogo mapigwa ya enda na kidogo uwone mwili wako kuna kitu mekifanya cha tofauti kuliko kukaa Lakini ya newa jingine mpangiliwe hata na mna uravi okula ni muhimu kajua kwa sababu kama hujia panga then most likely utakula chochote ambacho kina vatikana mezani. Koho ni muhimu kupangilia. Lakini kitu kingine ambacho ni muhimu ambacho ni nakiona. Ni muhimu pia kufanya jitihada zaki makusuri yoke baada ya kazi nina pata muda wakupumzika bizuri na mahali ndako kumzika ni salama. Unaangalia jemia sasa tunavuishi hasa huku mijini ni watu mbao oki baada ya kazi ndo muda anya machoma muda kidogo. Maona go ni maishi yamboni ya kila siku, ni mambo yamboni tunayafanya kila siku. Sasa ukidiribu kuyaangalia yote haya huku uzeni sasaidi, saifu noezo usione shida kwenye umbi flani lakini huku uzeni unakuta mtu kuna blood pressure, okay, mtu wana kiskali, mtu wana uzito mkubwa, tayari kuna magonjwa nyemelezi ya siwa mbukiza, mengi lakini unakuta uimala wa mifupa, hawuko hivyo vizuri, kuna unakuta anapata shida zaidi kuliko Mtu wamea naishi mti ndo maisha mbao na mperekea kuwa na hafi.
[00:14:19] Speaker A: Ni kiongezi hapo na okijia kwa anawake. Sasa mbali na ibo vyote kuna nasa hormonal changes, kuhuru na buenda, kuyo na mifupa tena na inyei na kuwa uimaro na pogua. Kwa iyo Najaribu kusistiza zile hatu wa binafzi unazujiwekia ue monye. Komba ni kienda kazini, nitakikisha komba ni meweka kila bada ya mdafani, tuseme lisali moja na nusu kama daktari wo sema, umatamawiri. Nita toka, nita tembea, hitha nitaenda nipande ngazi nirudia, nita tembea hata niende kwenye nga chukwe maji kwenye dispenser nirudi, hau nitaenda ofisi nyingine nirudi, nita toka anje. Hivi vituvi ote vinakusaidia wewe mgungu wako kupunguza strain, kwa sabu kila unaposimama, unajinyosha, unafanya stretches kidogo zinakusaidia wewe. Lakini pia daktari ya megusiaswa lazima lako. Kwa kwa intenshno kwenye nini unakula. Kwamba usipopanga, utakula chuchute kiri chopo. Lakini uki jipanga kwamba oke, mimi umuru umesha enda. Awasasaibi minikijana. Likini nataka nianze healthy lifestyle kwanzaa saibi. Kwamba rabda, kazi ni Naweza tu nikapata wali maragi. Kwa hiyo mimi take away nyumbani, neza nikabeba alabda korosho kidogo, nikabeba matunda kidogo, nikabeba nini. Yanivitu ambabu vitasaidia kujazilizia. Hitha nitabeba nyumbani, au kuna mtu kule kule ofsini amba neza nikawa nafanyo taratibu wakupata hivyo vitu. Lakini suala muhim sana ambacho tunajifunza ni kuwa intentional. Kwenye kuthibiti hivivitu ambavo, o, sasa hivi usupionekomba ni shida, ukajia kuwana shida badai. Suala ni kwenye lifestyle kuwa intentional. Karibu, Dr. Daniel.
[00:16:02] Speaker B: Okay, so katika hayo napenda kuongezea kwa kunamtindiwa maishi ambao unapatika na nyumbani kwa watu ambao wanajishukusha mfano katika kufanya usafi ambao kuna watu wanasema wawa hawawezi kudeki wakiwa kwa mesimama katika ukuwaji wawa wamezoea kudeki wakiwa wameinama na mara nyingi ukiangalia maoje ya vitu yambabu ngeza vika perekea maumivi ya mgongo ni kuinama kwa muda mbrefu kwa kitu yambaje tungeza kushauli kwa mtu yambae amezoea tunajua mara nyingine uwaga ningumu sana kuwacha kabisa kuinama Na kitu nabida kushauli kwamba mala kwa mala aweze kuajusti. Kwa kama anaweze wakupata fano yale madeki wa mbayo ya kuweza kusimama, aweze kutumia hayo. Lakini pia kuna atu amba wa mezwe ya kufuwa wakiuwa, wameinama. Wanasema wau. dila kuinama mgo wazitakati zere.
[00:16:59] Speaker A: Yes.
[00:16:59] Speaker B: Kwa tunapenda kushauli. Najiwa mananjio kusabu kani wosema ni mazwe ya mboya mdiniwa kwa mdamrefu. Lakini mtu lazima mwete kujifunza kubadilisha. Kwa badala ya kuinama kia wanamefua, anayza kwa hamekaa, hamechukwa beseni, beseni li mfate yeye, siyo yeye haufate beseni. Yes. Lakini pia sasa kuna, fano kuna watu wambao ni Jamia wazazi, wazazi wetu, babu zetu, ambao wanaiu maumivu ya mbongo, ambayo imetokana na ukuwaji wao au ze, ambao pingiri zao za mbongo, zimianza kusebe kuseba kupate uchakavu Sasa hii wa tuwezi kubalilisha kitu, lakini tunaweza kuweza kupunguza maumivu Njia moja wapo ni kuweza kukikisha, kupata muda wakulara wakutosha Kwa sababu, kikosa usingizi kwa amba unatachiwa wapumzike Kunanamna ambayo kuna pata mbandiriko kati kama mfumo mzima wafahamu Kwa tanga kupata maumivu Lakini pia kwa yule mzazi ambayo nasikia maumivu, nimegeza kushauli moja wapu ni Akiwa mepumzika gioni au asubui, awe natabia anapata kitu chamo, niseme magi ya moto anachemisha Then anareweka kinguo, magi yanakua vugu vugu Then hile nguo anayikamua, alafa anayueka kwenye semu amba pata maumivu ya mgongu Hiyo inasaidia kupunguza maumivu katika namba ya kwamba Mzungu kwa damu katika ilo eneo la mgongo unaongezeka Na kama mzungu kwa damu ukiongezeka, manake zile kemikali ya mbao zinausika na kupunguza maumivu ya mgongo zinazaisho kwa wingi katika ilo eneo Na kama lingizaisha kwa weni katika hilo eneo manake maumivu ya mbongo amboya likuwa natafisiwa kwenye mbongo kwa mba style una maumivu ya na suiwa Koyo mtu anata kuexperience aweni katika hilo maumivu Yes, koro anafikiri hivyo kitu vichache anata kushauli Yeah.
[00:19:01] Speaker C: Labda niongeze pia kwenye kundihili la waze ambalo ni mweni pia tukaliangalia kima ususi kwa mba ni kundi ambalo ni la waze wetu kuheli malanyingi ni waze na mimi sifikili na siwazi kwa mba kwa sababu ni waze baasi wateseke na maumivu na kwa sababu ya uze wawasi ishi maishi ambayo watafuraia Ngoje ni haze kwa kuto mfano huu labba unaeza wakaniyelea miskiri zaajie mbae labba unamzei nyumbani. Ujua waze wetu wazamani, kuda paten ziflani wamejiwekea kwa mba hivi ndivo maisha yao watahendeshe. Kuda paten ziflani yani ziko kwa mba ah, mimi nikiumwa didawa Nikimeza dawa, najisikia nafuu, au nimechuma sindano, weni waliishi mtendo, namna ile Na mzee hameishi pia kuji mazingila mgengine, yanamna ya kwamba, okay, mimi nitafanya kazi Lakini siyo kufanya mazoezi Koho nijamia hawa zee amba wamejiwekia kwamba mazoezi kwa mzee siyo kitu Sio kitu mwimu, sio kitu chafufanya, lakini ukiangalia tafiti nyingi zinaonyesha faida za waze wanaufanya mazoezi ukilingadisha na faida za waze ya mbuo wamekaha ufanyi mazoezi Konyajemi yetu pia ni mwimu sana, tukaanza kuingkiza taratibu Kitu cha mazoezi kwa waze wetu, kwa mbali na kuaacha nyumbani, kwa fungia nyumbani, kwa mba uyu mzee hapasi kufanya chechote, tuna mfulia, tuna ani, hata zile shuguri za kawaida, mazoezi, physical activity tutu za kawaida, mzee hetu hatumpifuza ya kufanya kwa sababu kuna msaidizi, then huyu mzee tu muaache tu ye Kwanza hameisha kuwa mzee ni kitu ambacho pia kinawafanya kimwili ule uimala aho na uwezo aho wa kimwili unazidi kupungua kwa sababu hawashiriki kabisa kwenye physical activities yamba zo zina wajenga Kwanza kwenye hili kundi ni muhimu Kuwelimisha na kuhimiza nyiwe ya kufanya mazoezi. Kineza ikawa ngumki dogu kuweleweka lakini kwa mfano, mazoezi tu madogu madogu Kutembea, utajinyoasha hivi, utatembea hapa mpakapale, hata kama unasupporti Lakini pia kujeribu kudiscourage bazi ya vitu kuwazeetu meona wana tembea hulikijijini, labda anainama sana, anaiifata hile fimbo Mweli misha tukomba fimbu waipasu kufata, nyaribu kidogo kujitahidi, kujinyosha, ili usiename ukaumia zaidi. Kovitu kama hivu bina wajenga na kufanya wawe vizuri. Na tunaona kabisa, kama mzee anashiriki kufanya mazoezi, then kuna kitu falani yanafanya kimuli yambacho kina mfanya kidogo achoke.
na hii nafanya usiku kidogwa na pata usingizi lakini kama mzee skunzima hamekaa tupele kwenye kiti mzee hamekaa mpaka jioni wamekujia hamemutua yani muda hote hamekaa hajigusi kwa chochote haashiriki shugui za mikono uzuzoti hapazo wanaweza kufanya utahona ni mtu ambeni kama hamefungiwa hapewe room na haashiriki kwa huko namna iyo waze wengi utakutuwa namna iyo haa usiku usipatagi usingizi Kumbe sababu ni kwa mba? Munda watu yani muli wakia hukumu. Active enough. Again, yuko na paten ya maisha ambao ni hile hile. Njambu lingine ambao ni muhimu. Ngependa kuhimiza pia kwa jamii hasa za vijijini. Tunahona kuna paten ya namnamoja ya kula. Namnamoja, yani vyakula vyainamoja. Wanga sana kwenye jamii hetu ya Kiafrica, Viyazi, miyogo.
Kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa Wazewengi ya botu na wazugu mzia ya walioko. Sasa hivi. Asa ukiangalia kunye tangu miaka iyo mpaka sasa kuna mbali. Riku wapa katikati ya metokea. Ya kwamba namna ya ulaji wao kipindi kile irikoni vyakula vyayasiri zaidi. Lakini unohona kuhengi walibatika kidogu wakienda shule, wengine wakapata position kidogo nzuri, unohona wakianza tendesi hile vyakula vya kukangiza na vitu kama hivyo. Kwa unohona kabisa hapa katika tumekujia tunahaze, saa lakini Hana shida moja, unakuta ana maumivi ya mgongo lakini ana magonjwa pia yale mengine, kiskari, pressure. Kwa vitu vyotu hivya na hivi. Sisa ni muhimu kuzingati ya komba, okay, ya pokua tunatibu kupunguza maumivu lakini ni lazima tunafikiri zaidi kusiana na hali ya kimweli na hali ya kiafya Kwa unyumla ya huyu mze. Ili ayo kwenye mazingila mazuri na ili ya ishi vizuri na ufraie pia uzewa.
[00:24:34] Speaker A: Kwa swa lazima la chakula.
Kwa tumeongelea kwa mapana vizuri kabizi. Swa lazima la kuwa active. Swa lazima la chakula kwa huyu mze. Lakini pia hata kwa ole amba wanaishi bijijini, ulemtindo wa maisha wa kila siku. Na muhimu sana ni kumbusha kati ya vitu amba vima daktari umetukumbusha leo ni kwakisha kwa amba Kama mtu anashida ya mgongo usibaki nyumbani, neenda katakute mtsada. Kwa sababu inaizekana, ikawa komba ni kutokana na mtindoa kwa maisha, ukazi unazofanya, ambayo tunasema ni mekaniko, lakini pia inaizekana ikawa unaubonjwa. Na ama daktari wa metu tagia vitu, vii, red flags au. Tunasema dalili atarishi ambazo kiziona, zinakupa aleti komba haya si maumibu ya mgongo tu. Kuna tatizo nyuma yake na unatakiwa kuchukua atuwa kutafuta matibabu saidi. Sasa tukisema kwa tunapuenda kumaliza ni wakaribishe madakitari kusema kwa wale watu ambao sasa hana shida ya mugongo. Atuwa gani anaweza kazichukua. Anajua kuna ambazo tumezitajia umutayari, mambo ya kuwa intentional na mtindo wa maisha. Key points ambazo mtu anaweza kachukua kainda nazo kwa mba okay nikifanya hivi vitu Mitaansaidia ninyepushe na maumivya mgongo. Karibu.
[00:26:06] Speaker B: Asante sana. Kama tulivyo tangulia kusema, lakini nivile vitu ambao vinajiludia ambao kitu kikubwa zahidi ni nicha wa mtu kweza kubadilisha mtindo wa maisha. Yes, ambao mtindo wa maisha mbala totaka mtu asiishi katika ide tumenda tabi ya buete. Tabi ya zakizembe ya kuamba Haji shugurishi katika kufanya mazoezi, au siyotu kufanya mazoezi lakini hafani shuguri za kila siku. Haiko active, yes. Kwa yo kitu kikubwa mbacho minaza kasima kama ni Point ya mtu kuchukua hili kweza kuzuhia asipate maumivya mgongu ni kuhisha katika maisha liyo active kwa hiyo kujishugulisha katika mazoezi lakini piya kula mlo kamili Yes, lakini mlo ambao umecontain vyakula vingi vinyakashia Yes, kwa njida kuhimarisha mifupa lakini piya na vyakula ambao vinaweza kusaidia kuboresha mfumo mzima wafahamu Kwa sababu kama mfumo wafahamu, ukikosa kivirutumisho sahihi, mtu anadha kupata. Anadha kupata mbaliliko kateka ngini sanavio hisi maumibia mgoni. Kwa humi punti zangu mbili ni kwa mba mtu aweze kubadisha mchindewa kiwa maisha, lakini pia aweze kupata mulo sahihi.
[00:27:33] Speaker C: Asante sana na mimi nikeitimisha kwa sentensi fupi fupi kwa askele za juhetu Ya kwa mba tunavuhimiza juhe ya mtindo wa maisha unaofaa Iyote inaeza ikawa ni fakta ya ukusaidia Uwe ambaye unashida, shida isiwe kubwa zaidi Lakini uwe pia ambaye unashida ukiendelea kuhishi kwenye mtindo wa maisha ya mbao unafaa Inakufanya uwe salama zaidi Kwa watu wanaotu usikiliza wasitukulia kompa jambu wala mtindo wa maisha tuu ni jambu wambalo li nasemosemu waila jambu wambalo ni muhimu na lazima wafanye jithihada za makusudi za kwamuwa kuhishi maisha ambayo yata wafanya wawe.
[00:28:21] Speaker A: Na afya Asanteni sana. Tumefrahi sana leo kuwa na nyima daktari. Leo tulikuwa na wanafiziotherapia Daniel Materu, pamoja Emmanuel Jacob, na namini mskiriza jiuetu kuna bitu vingi umejifunza. Nini ni wafikia kujuliet seba, kutoka doktara afiki Afrika, na unaweza kusikiriza episode iliopita, episode hina, nyingine nyingi za kusuafia. Kutoka kwenye channel ya Dr. Rafiki Africa YouTube, Spotify, Boomplay na Apple Podcast. Utaka poenda, kumbuka kusubscribe, share, ili watuwenge wajifunze zaidi, lakini pia comment. Tuambie, uewe kwenye sualazima la maumivu ya mugongo. Unafikiri kwa jinsi ya mbabo umesikia leo. Ni hatuwa gani unaenda kujukua? Uewe binafsi, hatuwa gani unaenda kujukua? Kama una maumivu, ili kupunguza maumivu yaku, lakini pia Kama hauna maumivu, hatuwa gani wewe binafisi leo umejifunza, unaenda kuifanya ili uwe pukane na maumivu ya mugongo. Kama unasuali lolote pia, juwe ya hali yako, au juwe ya sualazi maumivu ya mugongo, tuandikie habo kwenye comment section na tutafurai kukujibu. Asante sana na tututane kipindi kijachukua.