MAUMIVU YA MGONGO KWA WAJAWAZITO

September 19, 2025 00:38:28
MAUMIVU YA MGONGO KWA WAJAWAZITO
Doctor Rafiki Afrika
MAUMIVU YA MGONGO KWA WAJAWAZITO

Sep 19 2025 | 00:38:28

/

Hosted By

Dr. Juliet Sebba, Medical Doctor

Show Notes

Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, tunapoangazia suala zima la maumivu ya mgongo kwa wajawazito, Karibu kusikiliza.

View Full Transcript

Episode Transcript

[00:00:05] Speaker A: Hai rafiki, mambo vibi, na yuto Juliet Seba ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Karibu unganenami katika podcast hii ya afya rafiki kila siku ya alhamis. Lengo ni kupati ya tarifa stakazo kwezesha kufanya mamuzi bora yu ya afya yako, familia na jamini ina kuzunguka. Hi rafiki, mambo vipi, karibu kwenye episode ya leo tukiongilea mambo mbali mbali ya afyandani ya Dr Rafiki podcast. Na leo tunaenda kwenye topic ya muhim sana kuhusu sualazima la ujewzito. Tunajua kinamama wengi wanapitia chiangamoto za maumivu lakini inakaraha nyingine ambazo wazinatokea. Inezekana ni maumivu ya mbongo, inezekana ni maumivu ya migu, magoti, kiuno, pamuja na vitu vingine ambavo mama naweza kupitia maumivu kipindisha ujia uzito. Na leo tunaweza, tunaenda kuangilea hilo. Tunaenda kuangilea tukiwa na daktari, mtala mkati kastwa lazima la mazoezi, mwana fiziotherapia, Sandra Frisch, karibu sana. Na tumefurai sana kuwa naweleo na nafurai komba tunaenda kujifunza kutoka kwa mtu ambaye anaexperience kubwa kwenyo sa lazima la kufanya mazoezi au kuelekeza njia ambazo zinasaidia kina mama ojawazito kupunguza au kukabiliana na maumivu kwenye kipindi kizi macha ojawazito. Karibu sana. Kwa nini kwenye kipindi cha uja uzito kina mama wengi wanapitia hii changa motu wa sasa Mgongo na Kiyuno? Kwa nini? [00:02:03] Speaker B: Yes, salafana wa mama uja uzito wanapata maumifu ya Mgongo na Kiyuno, hii ananyunga actually. [00:02:16] Speaker C: Yeah. [00:02:17] Speaker B: Yeah. [00:02:33] Speaker D: Shepuyake ya mwili tu inavobadilika. Miezi inavosogea, mtoto wanakuwa, kwa yo mwili wa mama pia shepuyake inabadilika. Kama wengi utaona mgongo wachini unakuwa ume ingi andani zaidi. Kwa sabu tumbo linavuta Linavokuwa, linamvuta mbele. Kwa hiyo yenyewe, kwa jili ya mtoto wanavokuwa. Kwa hiyo yenyewe, inabadilisha posture au niseme mkao au mfumo wa mkao wa mama. [00:03:11] Speaker C: Ya, tunaonadea huli ambavu wa mkina memoengi, mkadu ujia buzuito, unavu wangezeka, unakutakitembe hivi. Tumbo linaenda mbele, mbongo unakomu mengia ndani. [00:03:21] Speaker D: Kwa hiyo yenyewe mwili wa binadamha utakiri kuwa... na mnavile, sindiyo? Kwa mtu wa kawahida, unakua mgongo umenyoka, umengi ya ndani lakini sio sana, unakua umenyoka. Kwa hule, hiale mabadiliko tuu, yenyewe ya nakua ya nasababisha maumivu. Kwa sababu tumboli na vuku wali mevuto ambele, misuli ya mgongo inapata stress zaidi. Na hata pingili za mgongo, zinavu ingi ya ndani zaidi, zinapata stress zaidi. Kwa hile inakua inamletea mama maumivu ya mbuongo. Lakini pia inaweza ikamletea ata maumivu ya nyonga. Sababu ya pili ni kuna kitu tunakita diastasis recti. Kwa kiswaili raisi inaweza nikasema kuwachana kwa misuli ya tumbo. Again, nikiongelea hivo hivo, shepu ya mamba inavobadilika, tumbo li nazidi kuwa kubwa. Kuna misuli ambayo inaiko kone tumbo pale. Kuleile misuli inatanuliwa kone point kwamba ya inaanza kuachana. Yani upandi wakulia na akushoto inaachana pale katikati ambapo onaweza. Nikasema ule mstari unapita kone kitofu. [00:04:44] Speaker C: Kama ule mstari muosi uo unatokea hivi kwa shuma maungine kipenditia uja uzito. [00:04:49] Speaker D: Kwa wote na isi ulazima wapati ule mistari, wengine unakua hauone kani, unakua mefifia lakini yes. Pale misuli hile ya tumbo inaachana. Sasa kazi ya misuli ya tumbo inatakiwa iwe balanced na misuli ya mgongo. Hile balance ndio inafanya mtu wasipate maumivu ya mgongo kwa sabu mwili unakua kone balance Koye hata mtu anavotembea, anavofanya shuhuliza keza kawaida, mwili huko balanced. Misuli inasupportiana. Misuli ya tumbo inapata support kutoka misuli ya mgongo na misuli ya mgongo inapata support kutoka misuli ya tumbo. Koye misuli ya tumbo inavotanuka na inavotachana inamanisha kuna kua hamna balance pale. [00:05:33] Speaker C: Okay. [00:05:34] Speaker D: Kwa hiyo misuli ya mgungo inattent kuvuuta zahidi kama kukaza zahidi, hiyo inaleta maumivu. [00:05:42] Speaker C: Okay, okay. [00:05:43] Speaker D: Tunajua, muscles tunasema kwa mba zina work pamoja. Ili kweka hile balance. Hili mtuweza ukusimama, ukanyoka vizuri, lazima muscles zi work kwa pamoja. Kwa hiyo kama misuli fly inakuwa haifanyi kazi yake, misuli mingine inattent kuoverwork. Au inafanya kazi zahidi. Kwa hile yenyewe pia inakua inaleta maumivu ya mgongo na pia ata maumivu ya nyonga tena. Kwa sabi mgongo wachini ukipita mgongo wachini hindi unafika kone nyonga. Kwa mgongo wachini kukiana maumivu Ata mama anavotembea, atakuwanatembea namna flani kujeribu kuwepa yale maumivu ya mugongo. Koyo anavotufanya vile, anaweka stress kwenye nyonga pia. Koyo anawenza akapata maumivu wapo. [00:06:38] Speaker C: Okay, ko inamana hii zote aya maumivu yanayotokea ni kusabi ya hele mabadiliko ya mwili yambo yanayotokea kwa mama. Kumba posi yake inabadilika lakini pia kutokana na hile ukuwaji wa mtoto, misuli yake inavokuwa, inabadilika, inarita maumivu. [00:06:57] Speaker D: Yes, yani shape winabadilika, uzito pia winaongezeka, tumbo winavokuwa, kuna misuli mingine inavutua, yani ina overstretch, koyo inakuwa ata weak, misuli ya tumbo inakuwa weak, ndo inaachana pale katikati, koyo kuna misuli mingine inafanya kazi yaziyada kidogo, kwa sabu inakuwa haikobalanced na misuli mingine. Koyo mama anavofanya shulizaki, anavotembea, anavoendelea na shulizaki za kawaida. Lazima kuna misuli mingine inapata stress zaidi. Kwa yopali inakua inaleta maumivu. Sana sana maumivu ya mugongo. Kuna kitu kingine pia mabadito ya hormones. Ambayo kuna hormoni inaitua relaxing hormone. We, daktari utakona iliwa vizuri zaini. [00:07:52] Speaker C: Yes. [00:07:53] Speaker D: Sasa hii relaxing hormone inakua inaongezeka kwa mama mgya mzitosi, ndiyo? [00:07:58] Speaker C: Ndiyo. [00:07:59] Speaker D: Yes. Kwayo inafo ongezeka inamanisha kwamba joints au kwa kiswali ni maungiyo. [00:08:07] Speaker C: Ndiyo. [00:08:08] Speaker D: Yanakua a bit loose. [00:08:10] Speaker C: Ndiyo. [00:08:11] Speaker D: Sindiyo. Joints zinakua loose na zile ligaments zinazo join. [00:08:20] Speaker C: Zinazo shkidia kwenye joint. [00:08:25] Speaker D: Zile nazo zinakua loose zina stretch kidogo. Yes. Mbawe hii hormone ni nzuri kuhongezeka kwa mama mgyamzito kwa sababu hina muanda Ile nyonga yake itajikutanuka wakati ya najifungua mtoto Yes, lakini sasa inavofanya aya mabadiliko pia inamanisha mama joints zake haziko stable Kama muanzoni Na ula uzito unavongezeka alafu shape yake inavobadilika, posture yake inavobadilika Inamanisha puna joints za kone nyonga Kuna maungi o tofauti ya kone nyunga kama haya kone, naisa nikasema kone pubic symphysis. Kuna maungi o tofauti, nyunga ina-involve mifupa katha, koyo kuna joints tofauti tofauti. Na pia nyunga, njo inawebeba uzito wajuu, alafu inapeleka kone migu. [00:09:23] Speaker C: Ndiyo. Kwa hiyo inabalance plani. [00:09:27] Speaker D: Exactly. Kwa hiyo hiyo yenyewe tu, na mabadiliko mingine ya mama, inamanisha pale kuna kuwa na stress nyingi sana. Kwa hiyo yale maungio ya kone nyunga, yako very easy kupata stress, kupata kitu tunaita kwa dili ya hizi sheer forces. Kama hakiwa natembea, hakiwa nasimamia, kwa mfona mesimama kone mgungu mmoja, kuna watu ngina onazawa kawa wanafanya mazoezi, hapawea na involve kusimamia mgungu mmoja. Iyo tu yenyewe inaleta stress kone yale maungiyo ya kone nyonga. Kwa hiyo inasababisha maumivu kwa sababu zile joints hazi ko loose, hazi ko stable kama muanzoni. Kwa hii homo ninafongezeka pia, njo one of the reasons inaue meta inaue mfanya mama, awe kone risk zaidi ya kupata, maumivu tofauti tofauti. Sana sana, kone nyonga, kone mgongo, lakini pia wanaeza wakapata maumivu ata ya shingo, kwa sabu postia inafo badilika, kuna postia mtu wanaeza kawa hamejizoesha sasa kukaa, inaeze kamsabishi ata maumivu ya shingo pia. Kwa hivo, hivo ni, hivo ni, hivo ni, hivo ni, ni, hivo ni, ni, hivo ni, hivo ni, ni, hivo ni, hivo ni, ni, hivo ni, hivo ni, hivo ni, hivo hivo ni, hivo ni, hivo ni, hivo ni, ni, hivo ni, hivo ni, hivo ni, hivo ni, hivo. [00:11:04] Speaker C: Ni, hivo I ni, hivo think from here, kitu wa bachyo ni ni, mewona ni kuamba haya mabadiliku wa mbali natukea kwa mama ni mabadiliku ya kawaida na ni mabadiliku hivo ya msingi ii kumwezeesha yei kubeba mtoto waki na badai kujia kuweza kuuzaa vizuri lakini haya mabadiliku sasa inye undo ya naweza kupelekea hizi discomfort na maumivu mbali mbali ya mbali mama nasikia. [00:11:32] Speaker D: Saa, saa, kamisa. [00:11:34] Speaker C: Tuna kupigia astuwa hapu. Tuna badu tunatamani kwa mba mama anapopitia kwenye haya mabadiliko. Kwa hawe na a certain level ya comfort. Badu hawezi fukabigena nao. Yanisiyo ni mawifu too much kiasi kwa mba mama hawezi kulala, hawezi kutembea, hawezi kufanya kichochote. Kama kwenye sualazima la mazoezi ya afya, vitu gani ambavyo mama naweza kufanya au kwenye fiziotherapy mama naweza kufanya nini chakumsaidia kwenye ichikipindi? [00:12:09] Speaker D: Kwanza wanakuwa mamamje mzitu wanakuwa napata sana maumivu. Kone vitu abavo mtu muingine kwako ni simple. Kama hivo kiwa unatembea, unapanda, nakushuka ngazi. Wengine inafika point ata kone wanavo geuka, kitandani. Anakuambia ni kiwa nageuka napata maumivu makali sana kone nyonga, kone mgongo, hivo. So tunashauri wengi wapate ushauri au ata wapate msaada kutoka kwa physiotherapist, kama mimi mwenye, yani datari wa mazoezi tiba. Tuna wa shauri sana kone kufanya mazoezi ambayo ni mazoezi specific tuna wa elekeza wenyewe. Kwa sabu kwa mama mgyamzito kuna mazoezi mengine ambayo anaweza akifanya, yanaweza yaka moongezea maumivu. Wajili ya hele mabadili kwenye osema. Kama nilito ya example, mazoezi ambaro ya na muitaji mama asimami ya mgungumoja, hayo tunawakataza. Kwa sababu kuna kua na stress pale kone nyonga na hele maungiyo hayako stable. Kwa hanafu asimami ya mgungumoja, ana kua kone risk ya kupata maumifya nyonga. Kwa hiyo, Tunawelekeza mazoezi specific kwa jili yao enyewe. Such as mazoezi ya tumbo. So, ile misuli ya tumbo kutanuka, ito ni kitu wambacha hatuwezi kukibadlisha. Lazima itanuke ili mtoto wapate na fase ya kukua. Lakini, tuna msaidia kidogo kuhimarisha ile misuli ya tumbo. Kwamba, sio kwamba ndio itanuke alafu ndio awe weak kabisa, kwamba asiwe na any support, awe any strength kone ayo iyo misuli ya tumbo. O mazoezi tuna muelekeza ya kustrengthen misuli ya tumbo. Ili asipate risk ya maumivu ya mugongo. Au ata wakati ana maumivu ya mugongo, tukifanya mazoezi kidogo ya kustrengthen misuli ya tumbo, poweze kuponguza maumivu ya mugongo. Iyo ni moja ambayo tuna kua tuna welekeza. La pili tunawelekeza nyinsia kurekendisha posture. Mikao sahihi, akiwa hameka, akiwa hamesimama, akiwa hatembea. Kwa sabu hile kama utakua ushai kuona luma nyamzito kwa mfano ambaye mwenye twins. Ushai kumuona akiwa hatembea. [00:14:48] Speaker C: Anakua melemewa. [00:14:50] Speaker D: Yes. Yani unawana kabisa anamzigo mbele. Kwayo tumbalote limevuto mbele. Kukunyuma unawana kabisa kuna curves. Alapho sometimes ata kunyanyua miguu anakua anaburusa. Ushaiku wana mtu ambaya anakua anajiburusa kwa sabu anawana eni uzito ni mkubwa sana. [00:15:09] Speaker C: Ya, nikuwezi. [00:15:10] Speaker D: So, tunakua tunawaelekeza kwamba Tunaelea wa situation yako, lakini itabidu ugitahidu kidogo uwe na mkao sahihi. Yani ile posture sahihi, ukiwa ata unatembea apia. Kwamba usiachii, usiachii tumbo ndoli. Yani ile posture, unavovutu anarendo, unaenda ivo ivo, unatembea ivo, kwa sabu unakuona jisababishia maumivu. Ata ukiwa umekaa apia Unatakiwa kuna mikau sahihi, unatakiwa ukae hivi. Ukiwa umesimama, unatakiwa usimame hivi. Kwa hizo heli mtu, tunawelekeza pia kwa nini? Kwa sababu mama mje mzita unaheza sikuelewe. Yeah, najua pana mimi na maumivu, na tumbo kwa zito, na unielemea. Kwa ho, unaniambia nisimame vizuri, hau unitembe vizuri. Kwa nini? Unielewe? Yeah, kama vile umuelewe situation yake. Kwa ho, lazima tuwaelimishe kwa nini? Kwa nini uzingatie posture, hili kuweza kuwepuka maumifu ya mugongo, maumifu mingine tuu ya mwili, ata ya... Fiyungo, tofauti, tofauti vya mwili, hivo. [00:16:29] Speaker C: Na shingo, kama mbabo metaji hapo wangozonia. [00:16:32] Speaker D: Mtu waneweza hakawa mkao wakya, kiwa hameka hameka vibaya. Kwa wanagiswabishia maumivu ya shingo. Na hanakua alewi kwanini. Kumbe haki badilisha tu posture, hakairekebisha. Haneweza hakaipuka, hawa haneweza hakaondoha ayo maumivu. Na sometimes tuna wapashi kuna hii mikanda ambayo inasaidia kusupport mgongo inasaidia kusupport na tumbo at the same time kwa pamoyi. Koro inasaidia kidogo kunyanyua tumbo, kubeba lile tumbo. Ili si mueleme sana. Kwa hiyo ata hiyo pia inaiza ikaonduwa maumivu, au ika punguza kidogo maumivu. Kwa wale ambao tunaona wanauitaji. Kwa hiyo kama hume pata mama mdyamzito na maumivu makali sana, na ndio usha wana postyake hiko hivo, na there's nothing ambao hiya naeza akafanya kupunguza hile maumivu. Sometimes tuna wapa hiyo mikanda ambao heme tengezua especially kwa jili ya mama mdyamzito. Na sahibi inapatika na kirai fitu Kwa hiyo kidogo inasapotu mgongo, inasapotu na tumbo. Kwa hiyo inasabia kupunguza maumizo. [00:17:45] Speaker A: Kwa hiyo inasapotu mgongo, inasapotu na tumbo. Kwa hiyo mgongo, inasapotu na tumbo. Kwa hiyo inasapotu mgongo, inasapotu na tumbo. Kwa hiyo inasapotu mgongo, inasapotu na tumbo. Kwa hiyo inasapotu mgongo, inasapotu na tumbo. Kwa hiyo inasapotu mgongo, inasapotu na tumbo. Kwa hiyo inasapotu Sakiwa labda kukonsida mgongo, au kuangalia hili kujokomba okei u mkanda unanifaa, inasapotu na tum wajinsi mimi ni livo au kuna karakteristika au kwaliti gani liya mkanda, mtu anaitaji kuangalia. [00:18:16] Speaker D: Kwanza kabi mpeneza nikafema, syo kila mama mje mzito anapaswa kutumia mkanda? Koyo sio kwamba umekaa, umeamua, sibili ni kaniwe mkanda ni ifae. Chakwanza kabisa upate ushauri. Kutoka kuwa either ata daktaji wa kawaida au physiotherapist kama mi mwenyewe. Tunaweza tuka kushauri kwamba wewe stage ulio fika unaitaji mkanda. Kwa hicho ndio chakuanza kabisa chakuzingatia kwa sabu sikuizi kama unavosema mikane inapatikana pharmacy, mtu unaheza tuu kaaenda ukajumilia, ni kama dawa, hau pasu tuu ukaenda ukajichukulia dawa It's best ukapata ushauru ya daktari ya kakumbia chikuwa dawafani ndo utumie. Koyo hata kone hii mikanda sana sana kwa mamja mzito. It's good kama ukienda kwa physiotherapist, haka uka mueleza shida yako, kwanini we unaisi unaitaji mikanda, na hea haka kuasess, hanaweza haka kupa tu maelekezo tofauti, haka kumbia actually hauwaitaji mikanda. Fanya ichi ichi na ichi, utakaa sawa. Kwa sababu unaweza ukaenda, ukajinulia, ukanuua mkanda ambayo siyo, siyo sahihi kwako. [00:19:31] Speaker C: Ya, ya, na hata ika kusababishia maumivu zaidi. [00:19:34] Speaker D: Exactly. Ika kusababishia maumivu, pali ambapo kumbe ulikua hauna maumivu. We, unaweza ukawa umeskia kwa mtu kuamba unajua kuna hii mkanda, mama mjia mzito ukivai, nafanya hivi, nafanya hivi. Ukatumia mkanda ndio ukaanzisha maumivu. Kwa hiyo, Ni vema kwanza ukapata ushauri kwa mbawe unahitaji mkanda au kijona unataka au unahitaji mkanda bora kwanza upate ushauri wa dapitari alafo ndio uende ukachukwe mkanda kwa sabu mkanda unaheza ukawuziwa ambayo sio Na wengi tuki wa ambia wakanuwe mkanda au wakachukwe mkanda tunakuwa wenye utuisha waandikia ni mkanda hainagani Na mara nyingi, ata kama anaenda pharmacy ya njia udukala njie, tunamambia unitumie picha ya uo mkanda kwanza ni uangalia, ndiyo ni kwaambia kama ni sahihi kwako. Awe kiweze kana, ukichukua uo mkanda njio nao, ni uangalia kama ni sahihi na kama ni sahihi ni kuelekeza jinsi ya kufunga. Kwa sababu unaheza ukachukua mkanda sahihi lakini ukafunga na mnamba, kuto sivu. Kuyo ukagisawabishia maumifu. [00:20:41] Speaker C: Sawa, sawa. [00:20:41] Speaker A: Kwa hapa take home message ni kwa mba, siyo kila mama naitaji mkanda, lakini pia hata kama unaitaji mkanda, kuna mkanda mbao ni sahihi kwako, na hata ukisha upata, kuna technique sahihi ya kufunga. Kwa iyo bado unaitaji ushauri wa daktari wa mazoezi, usifanye mwenyewe, usifanye out of peer influence, ni meona Instagram, ni meona TikTok, kila mama wanafunga. [00:21:11] Speaker B: Kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo. [00:21:16] Speaker D: Kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa. [00:21:19] Speaker C: Hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo. [00:21:24] Speaker A: Kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, Yes, nilikuwa nataka. [00:21:36] Speaker D: Kuongea pointi ya mwishu ambayo ilikuwa mazoezi ambayo tunawelekeza pia kwa ni mazoezi ya kustretch. Kwa mama ambaye anapata maumivu ya mgongo, pia tunakua tunawa mgongo wa ta nyonga, tunakua tunawelekeza mazoezi pia kufanya stretching. Kwa sabu kama nilivu sema kuna misuli sana sana ya mgongo inafanya kazi ya ziyada. Koyo inakua kone tension sana. Na hata uki feel, unafeel kwamba misuli inemekua tight, jumana anakuanapata maumivu. Koyo tunawalekeza mazoezi tofauti ya kujistretch. Mgongo, mgongo wachini, mgongo waju, kujistretch ata shingo, ata mingu. Ambayo stretching inasaidia kidogo kurelieve zile tension kone misuli ambayo inaweza ikawa tense au inaweza ikawa tight, hifu. [00:22:28] Speaker A: Sasa ni kuruulisha hapa hapo kabla tuja ya makomba, kuna hae mazoezi ambayo ni stretching na mazoezi mengine ambayo ya nakua ya mesha uriwa na mtala muafya au mtu ambayo yuko kwenye ili eneo la mazoezi kwa jia kina mama o jawazito. Ni kipindi geni katika ujia uzito mama anatakiwa anze mazoezi? [00:22:53] Speaker D: Kwa sisi physiotherapist, tunapokiaga actually wa mama ambao anakuja, anateka umishauri mazoezi. The safe point ambao tunasema kwamba ikishapita miyezi mitatu, pale unakua safe kufanya mazoezi. I think kwa yoe daktari pia utakuona farm. Ni miezi mitatu kama I'm not mistaken. Lakini, ukiachanga na hilo, tunapenda sana mama mje mzito kabla ajaja kwenye kufanya mazoezi, apite kwa daktari gynecologist. [00:23:31] Speaker C: Yes, daktari wakinamama, sorry. [00:23:35] Speaker D: Gyno or obstetrician. [00:23:38] Speaker C: Ndiya? [00:23:40] Speaker D: So, apate referral kutoka kwa daktari wake. Kwa mba daktari wake ampe go ahead kwa sabu unaweza ata ukawa umevuka hile safe window ambayo hile miyezi mitatu ya kwanza hatu shauri sana kufanya mazuezi pale. Lakini after miyezi mitatu buko safe kufanya mazuezi lakini unaweza ukawa na complications ingine. Kwa 60 physiotherapists, kuna mipaka mbao hatuwezi kufuka. Kwa unimbaka hapite kwa daktari waki, daktari waki ya mwambiye yes, it's safe kwa koewe kufanya physiotherapy, awe it's safe kwa koewe kufanya mazoezi. Kwa kuna vitu vili vya kuzenga tiapo. Sio tu munda, lakini lazima kwanza apate go ahead kutoka kwa daktari waki. [00:24:26] Speaker A: Labda niklarifaya kwa mba mimba au uja uzito, mama kwa mama unatofautiana na hata inazekana ni mama wewe wewe, lakini unaposikiliza ukagundwa kwa mba uja uzito akwa kwanza na apili vilitofautiana. Kwa hiyo inawezeka na experience yako ya muanzo, mizmi tatu ya kwanza haikuwa na changamoto yoyote, uliwelea na shuguli zako na bada yako ukanza mazoezi, ikawa shuari lakini ujewuzutu hapiri, ukatokea changamoto eitha kwa sababu ya shuguli, au kwa sababu ya mabadiliko ya mwili, daktere ya kakuambia pumzika kwanza, hata muzi wa nini ukambia pumzika, muzi wa tanu ukambia pumzika na ndomana Daktari wa mazoezi sandu wa natuambia komba ni muimu sana upate ushauri wa daktari wako anekuona clinic, daktari wako wakinamama, mjulisho komba na ningependa kipindiki ni anze mazoezi. akushauri, kutokana na jinsi yambavu wanakuona hali yako na maendeleo yako wewe na maendeleo ya mtoto. Na so lazima hapa ni kwamba tunataka kukabiliana na maumivu na discomfort lakini wakati huu huu wa kikisha usalama wa mtoto na usalama wa mama. Yeah. Sasa uhu uhu uhu uhu uhu uhu. [00:25:45] Speaker D: Uhu uhu uhu uhu uhu uhu uhu. [00:25:46] Speaker A: Uhu uhu uhu uhu uhu uhu uhu uhu uhu uhu uhu uhu uhu uhu. [00:25:47] Speaker D: Uhu uhu uhu uhu uhu uhu Kama uhu uhu uhu physiotherapist unaweza ukapokea mama ya mzito na ukafanya vile ukachukua vitals, kila kitu kiko sawa, ukamuanzisha mazoezi. Bila ushauru wa daktari au bila go ahead ya daktari na hile mama akipata changamoto yoyote hata kama ujia isababisha wewe kama physiotherapist kwa hele mazoezi Unaweza ukajueka kone sema mbayo unaweza ukaonekana kama wewe pia ni risk factor kwamba umeweza umekua umesababisha hele mazoezi Kwa hewe lazima nasisi pia kwa jili ya usalama wetu sisi pia Kwa sabu kuna kipindi amba cho mama kwa kehe ni very critical time kwamba hapo lazima awe careful kidogu asifanya shuguli ote nzitonzito sana. [00:26:44] Speaker C: Sao, sao. [00:26:46] Speaker A: Sasa ni wakati tunapokaribia konda kumaliza, nigependa kuuliza suala zima mazoezi. Nikuajinsigani linaweza kumsaidia mama kwenye suala zima hakujianda na labor haukipindi cha kujifungua na kwenye suala zima la kurecover hile bada hakujifungua mama na vuhu endelea kupona. Mazoezi hana umuimu gani kwenye kumsaidia kwenye hivipindi vivili? [00:27:13] Speaker D: Okay, so umuimu wa mama kufanya mazoezi wakati ana ujia uzito. Yana msaidia bitu mbali mbali. Kama kumpa fitness ya moyo, cardiovascular fitness tunaita. Mama anaweza kapata changamoto sana za pressure. Pressure zinaeza zikawa zinapanda sana. Kuyo mazoezi yanasaidia ku-maintain pressure ya mama. So another benefit ya mazoezi ni kusaidia, kusupport, kama nilivo sema before, ana kuwana, ana lose stability ya kone nyonga. Kuna kwa dili ya hile relaxing hormone lioitaja awali. So mazoezi kidogo ya nasaidia kustrengthen misuli mbali mbali ambare ya naweza ya ka support Kone nyumba, au misuli ya tumbo kama nilivu ongelea awali. Kwa yo mazoezi ya naweza ya kasaidia kumpa ili sapota na ue itaji. Kuprevent, kupunguza chances na kupata maumivu. Pia kitu kingine ni kumanage uzito. So uzitu wa mama naturally unaongezeka. [00:28:39] Speaker C: Ndiyo. [00:28:39] Speaker D: Ndiyezi inapoendelea na uzitu wa mama unaongezeka, uzitu wa mtoto pia unaongezeka. Kwa hula uzitu wa nyewe pia ni kitu wa mpajo kina msababishia maumivu kwa sabu kuna kuna ungezeko la stress kone nyonga ya mama. [00:28:53] Speaker C: Ndiyo. [00:28:54] Speaker D: Hau kone mgongo pia. Kuna kuna ungezeko la stress. Kwa hiyo mazoezi, ya naweza ya kasaidia ya mama asii Ongiezeke kupitiliza. Koyo kumeintain hile healthy weight. Uzitu ambawo kidogo ni anaweza kaa tusemeni healthy. Mbaba unaweza ukansaidia. [00:29:14] Speaker C: Uzitu ambawo ni salama. [00:29:16] Speaker A: Yes. [00:29:16] Speaker C: Na unawuyano mzuri yani kwa afyake. Usimiletezi changa mtu nyingine kama pressure. Yes. Na hizo complication nyingine kime nchia kujifungua. [00:29:25] Speaker D: Yes. Koyo anawofanya mazoezi anaweza kumeintain hile healthy weight. [00:29:29] Speaker C: Yeah. [00:29:30] Speaker D: Kitu kingine pia Kufanya mazoezi kuna msaidia mama asipate kama utakuwa umesha waonaga sana wanakuwa wanavimba migu, wengine hata mikono pia inaeze ikavimba. Yes, koe kufanya mazoezi inamaintain circulation, good blood circulation muilini. Koe hile inasaidia kupunguza hile kuvimba kwa migu. So kumba haito vimba kabisa lakini hata haito vimba kupitiliza. Sabu inaeza ikavimba tuu point ambayo inaonekana kabisa, it's painful. Koeo mazoezi ni muimu kone iyo sekta pia. Lakini pia kuna kitu kingini ambacho tunaeza tusiki ongele sana lakini mental health ya mama. So mazoezi ni muimu sana pia kone kupunguza anxiety, kupunguza stress. Na mama akiwa na mdia uzito, yani kipindicho sometimes Hormones inavo badilika, badilika anaweza kawa ana-stress. Wengine wanaweza ata wakapata depression. Wengine wanaweza wakapata anxiety. Kwa sabu ujui utakavu henda kujifungua itakuwa aje. Au kwajili ya sababu mbali mbali. Lakini kufanya mazoezi inaweza ikamusaidia pia kumaintain ile mental health yake. Kwa hicho ni kitu muhimu sana but very under looked. [00:30:59] Speaker C: Lakini, vipi kwenye enewa la maandalizi ya kujifungua? Haya mazoezi ya mbalo mama hanafanya na msaidia vipi kwenye kujianda upuanda mwili wake kujifungua? [00:31:12] Speaker D: Yes, kipindi kile mama hanaenda kujifungua Kwanza kinaitaji teseme nguvu na kile kipini mama anaeza kawa anachoka, sindiyo? Hata breathing zake tunaushaona mama anavofika zile sigu za mwisho hata kwene kuhema kwake Unaona kabisa anapata shida. Hakitembe hapa mbaka pale, anakua kumua kwa shida, hua anahema kwa shida. Kwa hiyo, kama nivo ongelea, nikwamba anaitaji sana awe Kuna mazoezi yambo tunawelekeza ya breathing exercises. Ambo ni very important pali anapo kua kone labor. Lazima aweze kukontrol ile breathing yaki. Kwa hiyo kama ni haya mazoezi tumeshe welekeza before, ata anapo hinda kujifungua, anakuateari anafaham na mna ya kufanya breathing, kukontrol breathing yaki. wakati wa labor ambao hicho ni kitu muhimu sana ata kuna manethi ambao midwives wanakuwaga wanaafundishaga. [00:32:21] Speaker C: Ni kweli kabisa na uzuri siku hivi yelimu, yani kwa sabi ya metandao yelimu Imekuwa, ni iko wazi, watu wanatua yelimu, yelimu inapatika na vizuri Kwa hini muhimu watu kujifunza, kufanya mazuezi, lakini kama vila mbabu tumeongea Ni vizuri ukaongea na daktari wako, uka mjulisha Kwamba ni na flan, kujihunga na mazuezi, haina flani Afyele ya kushauri kulingana na hali yanayokuwa na nayo na hali ya mtoto wako kwa kipindi icho. Yeah, that is very important. Na vipi kuhusu sa lazima mazoezi li nasaidi yaje ahujeli na msaada penikile kipindi chabada ya kujifungua? [00:33:08] Speaker D: Yes, ni muhimu sana. Kwa mama awe hamefanya mazoezi kabla ya kujifungua Kwa sababu baada ya kujifungua mwili unaitaji kurecover Kwa sababu tumesha ongelea, kuna madiliko mengi ya mwili ya mbao ya metukia Kuna misuli ya mbao ya meoverstretch, kuna misuli itakayo kuwa weak Kuna maumivu atakayo kuwa nayo Kwa iyo, kama mama alikuwa hanafanya mazoezi awali Inamanisha mwili wake unakuwa raisi zahidi kurecover baada ya kujifungua. Kwa hiyo kufanya mazoezi kuna saidiya kuharakisha hiki kipindisha kurekava. Kuna mama naweza haka chupuwa mdamrefu zaidi kurekava kwa sabu hakuwa hanafanya mazoezi. Lakini wanaufanya mazoezi imeonekana kuamba recovery yao inakuwa haraka zaidi atisha jifungua. Kwa hiyo kwenye hiyo sector mazoezi ni muhimu sana sana sana kwao Lakini pia ina punguza kuna kitu kinaikuwa postpartum depression. [00:34:18] Speaker C: Sonoona. Sonoona bada ya kujifungua. Ambozi pia tu mauna wakiwingi wanapitia iyo changamoto. [00:34:28] Speaker D: Na wengine wanapitia lakini ya hawajuhi kwamba ni... [00:34:32] Speaker C: Ni sonona ya... [00:34:34] Speaker D: Kwamba ni kama tuseme naeza ni ugonjwa mbao onajulikana Kwa yo kufanya mazoezi pia, kuna punguza risk ya kupata hii sonona baada ya kujifungua Kwa yo, hii jo again kama nilivu sema mental health ni kitu amba cho Hatu kipi enough priority lakini kwa unekufanya mazwezi kuna msaidia sana mama kuna iyo sekta. [00:35:01] Speaker C: Sasawe. Okay. Sasawe. Okay. Sasawe. Okay. Sasawe. Sasawe. Sasawe. Sasawe. Sasawe. Sasawe. Sasawe. [00:35:08] Speaker D: Sasawe. [00:35:09] Speaker A: Sasawe. [00:35:09] Speaker C: Sasawe. Sasawe. Sasawe. Sasawe. Sasawe. Sasawe. Sasawe. Sasawe. [00:35:18] Speaker B: Ni Sasawe. [00:35:18] Speaker C: Sasawe. kitu gani anareza kafanya hili kumusaidia kwenye hichikipindi anapopitia Sasawe. Sasawe. haya mabadiliko ya kwenye mweli, nini anareza. [00:35:27] Speaker A: Kafanya chakueza kumusaidia kukopu na kaindelea na. [00:35:31] Speaker C: Mashuguliza kiza kila siku. [00:35:35] Speaker A: Asante sana, tumefrayi sana kuwa na Alessandra. [00:35:38] Speaker B: Tumefrayi kwa mwali kuhako, nachukuru sana, tokoe kuhapa. Lakini pia nauma ni sisi, kwa mbawa mama. Hania kushauli kwenda kwa Physiotherapist, unaeza pia mwenye uka mwa mba daktaria, ukaomba ushauli, ifivipi nikenda kwa daktaria mazoesitiba kisa mbuna. [00:36:01] Speaker D: Maumivu. [00:36:06] Speaker B: Siba unaweza ukaenda pia, ukaungiza, ukawambia nga maumibu. Hai, hai, na hai. Ni kawahida, au kuna nami na mbole, kuna kitu naweza nikafanya, nika nisaidia, au kika nisaidia kupunguza aya maumibu. Sio mbaafi. [00:36:20] Speaker C: Kama unaweza pia weo kainishi, tukaomba. [00:36:25] Speaker B: Kila daktari anafahamu kwa mbaa. Uwe mama anatakia uaende kufanya physiotherapy. [00:36:34] Speaker C: Saa, saa. [00:36:36] Speaker A: Asante sana. Ni kukumbusha tuu naitusikiliza wetha wewe ni mama mdya mzito au unaishi na mama mdya mzito au unategemea kuwa mdya mzito. Safari ya uja uzito inatofauti ana kutoka kwa mama mmoja, kunda mwingine na katika kipindiiki ni muhimu kujali mwili wako. Na njia moja hapo na uweza kutumia hili kusaidia mwili wako kukopna ya mabadiliko wa kupitia mazoezi. Na tunashauri kwa mba mazoezi ya ya usianze tu mwini, ukaingia YouTube, ukaanza kufanya, tafuta ushauri wa afya. Ongia na daktari ya naekuudumia kwenye kliniki yako ya jazito lakini pia ongia na madaktari wa mazoezi kama tunawita wanafiziotherapia mbao napatika na kwenye vituo mbali mbali wa vyaafya. Leo tulikuwa na daktari Wamazoezi Sandra Fish amba ya metu yelekeza vitu mbali mbali na hametu kumbusha na minu mejifunza. Karibu kwenye episode nyingine hizitaka zofata. Mwezi hu September wate tunawangelea swa lazima la maumivu na ninini unawezo kafanya ili kupunguza au kukabiliana na maumivu amba unatoka na niaweza ni ya Mgongo. Nikipindi chaojeo zito, ni maumivu kwa mguongo, squeeze tunaona wa tuto na maumivu vyote hivi katika mwezi huu tunaongelea ingia YouTube, Spotify, album play, andika Dr. Rafiki Africa. Utakuta episodes yetu zote pale. Baka siku nyingine, tunashukuru sana kwa kuwa na uewe na endelea kuwa informed, endelea kuhishi maisha nyafya. Kwa heri.

Other Episodes

Episode

July 24, 2024 00:08:13
Episode Cover

LISHE NA MTINDO WA MAISHA KIPINDI CHA UJAUZITO

Karibu sana kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki na leo tukizungumzia suala zima la 'Lishe na Mtindo wa maisha kipindi cha Ujauzito'. Ungana nasi...

Listen

Episode

July 10, 2024 00:23:20
Episode Cover

MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NA AFYA YAKO 02

Karibu kwenye Doctor Rafiki, wiki hii tukiendelea kujifunza kuhusu 'Mabadiliko ya Tabia ya Nchi yanavyoathiri Afya yako' tukiwa Doctor Rafiki (Dr. Juliet Sebba, MD)...

Listen

Episode

September 11, 2025 00:29:43
Episode Cover

NJIA ZA KUKABILIANA NA MAUMIVU YA MGONGO

Habari Rafiki, karibu kwenye episode nyingine ya Doctor Rafiki Africa, na wiki hii tunazungumzia njia za kukabiliana na maumivu ya mgongo. Ni furaha yetu...

Listen