Karibu sana kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki na leo tukizungumzia suala zima la 'Lishe na Mtindo wa maisha kipindi cha Ujauzito'. Ungana nasi Dr. Juliet Sebba pamoja na Dr. Tom Jackson (Mtaalamu wa Afya ya kina mama na uzazi)
Kwa maoni, ushauri na maswali; wasiliana nasi kupitia email:
Hello Rafiki, karibu kwenye episode nzuri ya Doctor Rafiki Africa, leo tunazungumzia suala zima la 'Kunawa Mikono'. Je ni kweli kunawa mikono kunakulinda na...
Katika kipindi hiki cha Doctor Rafiki Africa, Dkt. Julieth Sebba anazungumza na Dkt. Evarist Wilson, daktari bingwa wa kinywa na meno, kuhusu usalama wa...
Fuatilia episode mpya kutoka kwa Doctor Rafiki kuhusu 'Chanjo'. Tukielezea maana ya chanjo, faida zake na umuhimu wake katika jamii. KARIBU