Karibu kwenye kipindi cha Doctor Rafiki, na wiki tukizungumzia kuhusu 'Sonona Kipindi cha Ujauzito na Baada ya Kujifungua'. Ungana nasi tukiwa na mgeni Lizbeth Mhando ambaye yeye ni mwanasaikolojia tiba, pamoja na Host Dr. Juliet Sebba, MD.
Katika kipindi hiki, Doctor Rafiki anazungumzia ongezeko la mafua katika jamii kipindi hiki cha msimu wa baridi na mvua. Utajifunza visababishi vikuu vya mafua,...
Karibu kusikiliza episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukizungumzia suala zima la 'Afya ya Akili kwa Wanaume', tukiwa na Dr. Frank Kiwango.
Karibu kusikiliza episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wakati huu tukizungumzia sifa na tabia binafsi zinavyoathiri afya yako.