Katika kipindi hiki cha Doctor Rafiki Africa, Dkt. Julieth Sebba anazungumza na Dkt. Evarist Wilson, daktari bingwa wa kinywa na meno, kuhusu usalama wa huduma za meno kwa wajawazito. Usikose kujua ukweli wa kitaalamu kuhusu tiba ya meno wakati wa ujauzito!
Fuatilia episode mpya kutoka kwa Doctor Rafiki kuhusu 'Chanjo'. Tukielezea maana ya chanjo, faida zake na umuhimu wake katika jamii. KARIBU
Karibu kwenye episode ya leo ndani ya Doctor Rafiki Podcast tukiwa tunaangazia zaidi juu ya haki zako msingi unapokwenda kupata huduma za Afya katika...
Habari Rafiki, karibu kwenye podcast yetu ya leo na wiki tukiendeleza mada yetu kuhusu Chanjo ambapo tutaangali kwa kina utaratibu wa chanjo Tanzania. Karibu...