Habari Rafiki, karibu kwenye podcast ya leo, tukizungumzia mambo 08 muhimu ya kufahamu na kufanya kwaajili ya Afya na furaha ya mtoto wako. Ungana na Dr. Julieth Sebba, MD akikuelimisha kuhusu suala hili, Karibu sana.
Kwa swali, maoni na ushauri:
Barua pepe: [email protected]
Habari Rafiki, tukiwa tunamaliza mwaka, haya ni machache ya kuzingatia wakati huu wa sikukuu; Usalama Barabarani mwisho wa mwaka. Ungana nami Daktari wako Dr....
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuna umuhimu gani wa Jamii kuhusishwa kwenye tafiti za Afya. Ungana nami Host wako Dr. Juliet...
Habari Rafiki, Fahamu njia 05 za kutunza uzito sahihi. Karibu ungana nami Doctor Julieth Sebba, MD.