Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukiendelea na mada kuhusu Watoto Njiti. Je, unafahamu kuhusu Kangaroo Mother Care (kmc)? Inafanyaje kazi? Kufahamu haya na zaidi ungana nami Doctor Julieth Sebba nikiwa na Dr. Irene Mageni kutoka Sauti ya Daktari.
Fahamu kwa kina kuhusu lishe kwa wagonjwa wa moyo na presha na Dr. Juliet Sebba na Dr. Martha Kungu
Karibu kusikiliza podcast mpya na Doctor Rafiki, wiki hii tukiwa na mgeni, Doctor Martha Kungu kutoka 'Afya Passion Clini' tukizungumzia kuhusu sonona na msongo...
Karibu sana kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki na leo tukizungumzia suala zima la 'Lishe na Mtindo wa maisha kipindi cha Ujauzito'. Ungana nasi...