Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuhusu Watoto Njiti. Unafahamu nini kuhusu watoto njiti? Kuna shida gani inayosababisha kuzaliwa kwa watoto njiti? Kufahamu haya na zaidi ungana nami Doctor Julieth Sebba nikiwa na Dr. Irene Mageni kutoka Sauti ya Daktari.
Karibu kwenye episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wiki hii tunaendelea kuzungumzia ugonjwa wa kansa ya Matiti, tukielekeza macho yetu kwenye changamoto za ugonjwa...
Habari Rafiki, karibu kwenye Doctor Rafiki 2025, tukianza mwaka na episode nzuri kabisa kuhusu Kuboresha Afya yako. Ungana na host wako mahiri Dr. Julieth...
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukizungumzia suala zima la Kujiua. Ungana nami Dr. JulieT Sebba, tukizungumzia kwa kina suala hili.