Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuna umuhimu gani wa Jamii kuhusishwa kwenye tafiti za Afya. Ungana nami Host wako Dr. Juliet Sebba, MD nikiwa na Mgeni Dr. Rosalia Njau, MD, Msc ambaye yeye ni daktari mtafiti katika sekta ya Afya.
Pumu ya ngozi (eczema) ni tatizo linalowaathiri watu wa rika zote, lakini wengi hawajui chanzo chake halisi. Katika kipindi hiki, Doctor Rafiki akiwa na...
Ungana nasi kila wiki katika kujifunza na kuboresha Afya yako na jamii inayokuzunguka kutoka kwa wataalamu wa afya.
Fuatilia episode mpya kutoka kwa Doctor Rafiki kuhusu 'Chanjo'. Tukielezea maana ya chanjo, faida zake na umuhimu wake katika jamii. KARIBU