Hi rafiki, mambo vipi? karibu kwenye episode ya leo, na wiki hii tunazungumzia suala zima la ngozi tukiangazia kuhusu bidhaa salama na zisizo salama za ngozi. Karibu ungana nami Dr. Julieth Sebba nikiwa na daktari bingwa wa ngozi Dr. Caroline Masanje.
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukiendelea na mada kuhusu Watoto Njiti. Je, unafahamu kuhusu Kangaroo Mother Care (kmc)? Inafanyaje kazi? Kufahamu haya...
Ungana nasi kila wiki katika kujifunza na kuboresha Afya yako na jamii inayokuzunguka kutoka kwa wataalamu wa afya.
Karibu sana kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki na leo tukizungumzia suala zima la 'Lishe na Mtindo wa maisha kipindi cha Ujauzito'. Ungana nasi...