Habari Rafiki, tukiwa tunamaliza mwaka, haya ni machache ya kuzingatia wakati huu wa sikukuu; Usalama Barabarani mwisho wa mwaka. Ungana nami Daktari wako Dr. Julieth Sebba, MD.
Kipindi hiki kinazungumzia changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana — msongo wa mawazo, hofu ya maisha, presha kutoka kwa jamii, mitandao ya...
Habari Rafiki, karibu kwenye doctor rafiki wiki hii tukizungumzia ugonjwa wa kansa na jinsi ambayo unaweza kuathiri afya ya akili kwa wagonjwa, familia na...
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuna umuhimu gani wa Jamii kuhusishwa kwenye tafiti za Afya. Ungana nami Host wako Dr. Juliet...