Habari Rafiki, karibu kwenye doctor rafiki wiki hii tukizungumzia ugonjwa wa kansa na jinsi ambayo unaweza kuathiri afya ya akili kwa wagonjwa, familia na hata watoa huduma ya Afya. Fahamu pia hadithi nzuri ya kusisimua ya mwanamke mmoja jasiri aliyejaa na tumaini, tuliyempa jina la 'Amina'.
Karibu kusikiliza episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukizungumzia suala zima la 'Afya ya Akili kwa Wanaume', tukiwa na Dr. Frank Kiwango.
Habari Rafiki, Fahamu njia 05 za kutunza uzito sahihi. Karibu ungana nami Doctor Julieth Sebba, MD.
Habari Rafiki, karibu kwenye episode mpya ya doctor rafiki, tukiendelea na mada yetu ya kansa. Wiki hii tunazungumzia kuhusu changamoto na mabadiliko baada ya...