Habari Rafiki, karibu kwenye episode mpya ya doctor rafiki, wiki hii tunazungumzia magonjwa yasiyopewa kipaumbele yanavyoweza kuathiri afya ya mama na mtoto. Karibu ungana na Doctor Julieth Sebba, MD kujifunza zaidi.
Hii podcast inazungumzia juu ya kansa za utotoni, ikiwemo uwezekano wa kupona na kuendelea na maisha yenye afya. Utasikia shuhuda kutoka kwa Kelvin Kashaija...
Karibu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki kusikiliza na kujifunza kuhusu lishe kwa wagonjwa wa kisukari. Ungana nami Doctor Juliet Sebba pamoja na...
Habari rafiki, karibu kwenye episode mpya ya leo, tukiendelea na mada yetu kuhusu pumu ya ngozi. Wiki hii tukiwa na Daktari bingwa wa ngozi,...