Pumu ya ngozi (eczema) ni tatizo linalowaathiri watu wa rika zote, lakini wengi hawajui chanzo chake halisi. Katika kipindi hiki, Doctor Rafiki akiwa na Dr. Salva Nicas, Md, Mmed wanachambua kwa undani visababishi vya pumu ya ngozi, athari zake, na jinsi ya kujikinga au kuitibu. Karibu upate maarifa sahihi yatakayokusaidia wewe na wapendwa wako kuishi maisha bora bila usumbufu wa ngozi. Sikiliza hadi mwisho – afya ni msingi wa maisha!
Habari Rafiki, karibu kwenye Doctor Rafiki 2025, tukianza mwaka na episode nzuri kabisa kuhusu Kuboresha Afya yako. Ungana na host wako mahiri Dr. Julieth...
Karibu kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki, tukiendelea na mada yetu ya 'Uchangiaji wa Damu', Wiki hii Doctor Rafiki anaangazia maswali na majibu kuhusu...
Katika kipindi hiki cha Doctor Rafiki Africa, Dkt. Julieth Sebba anazungumza na Dkt. Evarist Wilson, daktari bingwa wa kinywa na meno, kuhusu usalama wa...