Karibu sana kwenye episode ya leo na Doctor Rafiki, Wiki hii tukizungumzia kuhusu MAANDALIZI KABLA YA KUBEBA UJAUZITO; tukiwa na mtaalamu wa masuala ya afya ya kinamama na wajawazito, Dr. Tom Jackson MD, MMED,Msc.
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukizungumzia suala zima la Kujiua. Ungana nami Dr. JulieT Sebba, tukizungumzia kwa kina suala hili.
Habari Rafiki, Fahamu njia 05 za kutunza uzito sahihi. Karibu ungana nami Doctor Julieth Sebba, MD.
Pumu ya ngozi (eczema) ni tatizo linalowaathiri watu wa rika zote, lakini wengi hawajui chanzo chake halisi. Katika kipindi hiki, Doctor Rafiki akiwa na...