Karibu kwenye video hii maalum ya Dr. Rafiki Africa tukishirikiana na Dr. Salva, mtaalamu wa magonjwa ya ngozi, ambapo tunazungumzia mbinu salama na bora za kuitunza ngozi yako kila siku. Utajifunza:
✅ Sababu za matatizo ya ngozi yanayotokana na utunzaji usio sahihi
✅ Namna ya kuchagua bidhaa salama kwa ngozi yako
✅ Vidokezo vya asili vya kuimarisha afya ya ngozi
✅ Mambo ya kuzingatia kwa ngozi yenye mafuta, kavu au mchanganyiko
Habari Rafiki, Karibu kwenye doctor rafiki podcast, wiki hii tunazungumzia suala zima la chanjo, na tunaenda kukueleza sababu 05 muhimu kwanini mtoto apewe chanjo....
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuhusu Watoto Njiti. Unafahamu nini kuhusu watoto njiti? Kuna shida gani inayosababisha kuzaliwa kwa watoto njiti?...
Karibu kusikiliza episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukiwa na mgeni wetu Aloyce Urassa, tukizungumzia namna gani Mabadiliko ya tabia ya Nchi yanaweza...