Katika kipindi hiki, Doctor Rafiki anazungumzia ongezeko la mafua katika jamii kipindi hiki cha msimu wa baridi na mvua. Utajifunza visababishi vikuu vya mafua, jinsi yanavyoenea, na hatua rahisi lakini muhimu za kujikinga na kutibu mafua kabla hayajawa makubwa. Sikiliza upate elimu ya afya kwa maisha bora!
#doctorrafikiafrica
kwa mawasiliano: [email protected]
Karibu kusikiliza episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wakati huu tukizungumzia sifa na tabia binafsi zinavyoathiri afya yako.
Karibu kwenye video hii maalum ya Dr. Rafiki Africa tukishirikiana na Dr. Salva, mtaalamu wa magonjwa ya ngozi, ambapo tunazungumzia mbinu salama na bora...
Karibu kwenye doctor rafiki podcast, wiki hii tukizungumzia kuhusu Kansa ya titi na jinsi gani inavyowezekana kutibika pindi itakapogundulika mapema na kuanza matibabu.