Hello Rafiki, karibu kwenye episode nzuri ya Doctor Rafiki Africa, leo tunazungumzia suala zima la 'Kunawa Mikono'. Je ni kweli kunawa mikono kunakulinda na magonjwa?
Karibu kujifunza.
Kwa mawasiliano nasi, barua pepe: [email protected]
Ungana nasi kila wiki katika kujifunza na kuboresha Afya yako na jamii inayokuzunguka kutoka kwa wataalamu wa afya.
Habari Rafiki, Fahamu njia 05 za kutunza uzito sahihi. Karibu ungana nami Doctor Julieth Sebba, MD.
Karibu kusikiliza episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wakati huu tukizungumzia sifa na tabia binafsi zinavyoathiri afya yako.