Habari Rafiki, Karibu kwenye doctor rafiki podcast, wiki hii tunazungumzia suala zima la chanjo, na tunaenda kukueleza sababu 05 muhimu kwanini mtoto apewe chanjo.
Karibu tujifunze pamoja
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia barua pepe
Habari Rafiki, karibu kwenye doctor rafiki podcast, leo ikiwa ni siku ya afya ya kinywa duniani, tunaangazia suala zima la changamoto ya harufu mbaya...
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukiendelea na mada kuhusu Watoto Njiti. Je, unafahamu kuhusu Kangaroo Mother Care (kmc)? Inafanyaje kazi? Kufahamu haya...
Habari Rafiki, Fahamu njia 05 za kutunza uzito sahihi. Karibu ungana nami Doctor Julieth Sebba, MD.