Habari rafiki, karibu kwenye dr. rafiki podcast; Karibu ujifuzne kuhusu kifua kikuu sugu, jinsi kinavyoenea, dalili zake, na mbinu za matibabu. Sikiliza majibu ya maswali muhimu kuhusu ugonjwa huu hatari
Habari Rafiki, Fahamu njia 05 za kutunza uzito sahihi. Karibu ungana nami Doctor Julieth Sebba, MD.
Karibu kwenye episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wiki hii tunaendelea kuzungumzia ugonjwa wa kansa ya Matiti, tukielekeza macho yetu kwenye changamoto za ugonjwa...
Habari Rafiki, karibu kwenye Doctor Rafiki na katika episode hii utajifunza ni kwa namna gani siku 1000 za mwanzo zinavyoweza kubadili maisha ya mtoto....