Episode Transcript
[00:00:00] Speaker A: Ambabo katika utafiti huu nilipata kugundua kuona kuamba katika miyezi mitatu iliopita wakatuwa liipoti kuamba wanapata maumivu ya mgongo ni zaidi ya silimia amsini ambao katika watutuwa mboni nijalibu kuaangalia ni walikoka maantumia tatuifu kukiangalia punikuamba ni nusu ya wanafunzi wa shule za msingi wanapata maumivu.
[00:00:29] Speaker B: Hi rafiki, mambo vibi. Naito Juliet Seba ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Karibu unganenami katika podcast hii ya afya rafiki kila Siku ya Alhamis. Lengo ni kupati ya tarifa zatakazu kwazesha kufanya mamuzi bora yue afya yako, familia na jamina ya kuzunguka.
Mambo rafiki, kwenye siku za karibu ni tumenza kuona tatizo la maumivi ya mugongo kwa atoto. Kitu ambacho, kipindi chanyuma, haki kuwa common kukiona. Watoto hamekua kilalamika, migungo inauma, mtuto mwingine mpaka inafika stemu analazwa, anayingizwa kwenye imatibabu makubwa, familia zinaingia gara makubwa kwa sababu ya shida ya mugongo. Leo tutenda kuzungumza. Ni nini tatizo li nasababisha hawa watoto sukuizi tunapata watoto yenye shida za mugongo lakini pia tutenda kuangalia ni mambo geni tunaweza kufanya kama jamii, kama wazazi, hili kusaidia kupukana na hili tatizo la maumivu ya mugongo kwa watoto. Na leo niko mimi Dr. Juliet Saber lakini niku pamoja na wanafiziotherapia Dr. Emmanuel Jacob pamoja na Dr. Daniel Materu. Karibuni sana.
[00:01:48] Speaker C: Saanti ya saanti.
[00:01:49] Speaker B: Na sasa tunapoenda kwaanza, nigependa kwaanza kukaribisha Dr. Daniel amba ya mekua kifanya utafiti kwenye hili suala la maumivu ya mugongo. Dakteri, tunambo tushirikishe kusu utafiti wako.
[00:02:03] Speaker A: Saanti sana. Kama olivu, nitambulisha. Naitua Danieli. Yes, ko katika mwaka huu ni mejaribu kufanya utafiti kuangalia maumivya mgongo na visababi shivyake kwa watoto, especially kwa watu wa shule za msingi. Ambabo katika utafiti huu ni lipata kugundua kuona kuamba katika miyezmi tatu iliopita, watu wa liipoti kuamba wanapata maumivya mgongo ni Zaidi hasilimia amsini, ambao katika watutu wa mboni nijalibu kuaangalia ni walikoka wangotomi ya tatuifu. Kukiangalia punikuamba ni nusu ya wanafunzi wa shule za msingi wanapata maumivu. Nikimbanisha kwa mba haya maumivu ni common, common ni kwa wanafunzi haya. Na jume kwepo na visababishi ambavo wanafunzi wenye walijalibu kuvielezea katika utafitu wangu. ambao vingi vimekua kwenye makundi mawili kundila kwanza ni mtindiwa wa maisha kundila pili ni shule kimanisha shule katika minajili ya kwamba ubebaji wa begi lakini pia uzito wa begi na pia furniture za shule ni anake madawati ambao wanatumia yes,ko sasa kitu amba chumbeja kikiona kwamba ubebaji wa mbegi mazito uwa unapelekea maumivya mgongo kwa sababu kuna misuli ya mgongo inakua katika tension kwa muda mrefu mtoto wa mbae anakilo chache alafu kambebesha zaidi ya uwezo wake inapelekea kusababisha misuli hiya mbawe hadikoha ija kumaa bado inaanza kupata tension, inapata mchutuko kwamba kitu gengi metokia kwenye mgongo wangu kwao inapelekea hivyo kwa hiyo Na hichi si kumba tu ni tafiti yangu lakini tafiti nyingi ambazo zimefanyika maenyo mbali mbali katika nchi ya Uganda lakini na nchi zingine zaoenze tu ambazo pia zimeendelea Na hii inaitia kwa jamii kumba kuweza kuangalia na wakua shule Kumekua na malamiko mengi pia ata kwa wazazi Kumba jamani, kwa totoetu, wanabibasa na mabegi mazito Tunahomba kuwepona mbada ala mabegi mazito Mungi wa mshauli kuwepo kuna makabati, mashuleni, kwa jile watotu hawa wasiweze kuwasiwa na mbima mdaftari mengi au vitu vingi kuendana vio shule Na imekuwepo hizo kelele lakini hakuna mwitikio chanya kwa wazazi Kwa tofauti na hiyo tu kwa mba kubeba mbegi mazitu lakini piata ukiangalia madawati mengi ambuwa toa nakaa shuleni Hayakithi kutokana na maumbile au jinsi ya livyo Kwa hivyo kwa hivyo kwa hivyo hivyo Katika kipengele cha mtindiwa wa maisha. Yes. Vitu wamabu wa katika tafiti yangu ni mevigundua, aori mevipata, moji hapo ni mtoto kuwa na maisha ya kuto shiliki katika michezo. Yes. Tunaona kutokana apia na mayendeleo tulio naayo katika mjiu etu wa kuu. Tunaoishi, watoto wengi saivi hawa shiliki. Eitha ni kutokana na Maitagiwe wazazi watu waze kukamda mlefu kusuma. Mtoto wanatoka asubuhi saa kumina moja, anenda shule, anaruri saa nane au saa tisa, baada ya hapu anambua fanya home work, fanya home work. Kwa choka, kwa inabidi alale, anambabidi alale kesho tena Kwa changa mtoto hasiliko nyi mazoezi Na iyo inaperekea mtoto kuwaza kupata nini maumivi ya mgongo Lakini pia mtoto kukosa muda wakulala wakutosha Na hii naize kasababishwa pia na Mda mwingi mtotoeba nakaa kuangalia TV. Na kama mtotoeba nakaa kuangalia TV au kifachote cha electronic, hoyo inampelekia yeye kukosa usingizi ambao ni kwajili ya ubora wafya yake ya mbongo. Lakini karikatia hiyo pia niongeze mtotoeba napo kaa mda mwingi kuangalia TV zaidi ya masama 3, zaidi ya masama 4, inamperekia mtuto kukata kateka hatari ya kukata maumivya mboko. Kwa hiyo ni seme hayo lakini pia na hile kukamda mbrefu kusoma. Mtoto dalasani katika vipindi tukiangalia, tuto nakakuanzia sambili mpaka sane.
Hakuna hata diakalbina tano za mtoto kusimama Kwa mbada diakalbina toto mtoto asimame kwa ajili ya kweza kujistretch Nakuta mtoto nakuwa kwenye tension imda hoti ya kai Dala sana hata ikiwa kai katika mkahu moja na mboku haki kavi baya na ambuwa wewe kavi zulu Toka nje. Ya, au toka nje. Yes, mtuto wa kjebu kujinyosha, kwenye kujinyosha apo, kaa vizuri. Sasa ule mkau mmoja mbao umekau wa mundo mmoja, una changamoto tukienda katika namna ya biomechanikia ya pingili za mgongo na misuri, ambayo ipo, una kuwa na changamoto hapo. Koyo hizu vitu vichacha mbavu nimejebu kufisema, karikatafiti yangu ndivu mbavu nimevya kufigundua, kuamba vinaza kamsababishia mtoto maumivya mgongo.
[00:07:35] Speaker B: Asante sana. Na utafiti huu una tufungulia mjadala wetu wa leo wakususwa lazima la maumivu ya mgungu kwa mtoto. Na daktari hame tutajia vitu wambavu kwenye utafiti vime wanekana kwamba vinaonyesha aya maumivu ya mgungu wanasabishwa na nina. Ni kumbu kumba hivi ni vitu wambavu vime tajua na watoto enyewe pamoja na wazazi kwenye huu utafiti. Usa nikija kwa ako, Dr. Emmanuel, kwenye hili sualazima la visababishu, kiangalia mtindo wa maisha huku shuleni watoto wanapukua, unafikiri kuna vitu gani visababishigiani mbingi na mbabo vinaweza vika wa vinasabisha watoto wanakua hatarini kupata maumivu sikuizi?
[00:08:21] Speaker C: Asante sana Dr. Juliette. Labda nianze kwa kusema na mskilizajia na yetu sikiliza. Nikweli kwanza sababu ya Kuwepua maumivya mgongo kwa atoto ni halisi kwa sababu mimi yambaye ni nafanya kazi hospitali ni kihudumia wateja mbali mbali. Nimeona pia kwa siku za karibuni group hili La watoto likiwa linaibuka pia au, unwezo kakaa, unohona watoto kazawa, wanakuje, wameleto hospitali, labda mungine yalikuwa boarding, au mungine yalikuwa kwenye shule ya dayi, yanaletua hospitali kwa njiri ya msaada na pimo vinafanyika Na viyote ukiangalia vipimu mala nyingine vimekua haviyo nyeshi moja kwa moja kwa mba kuna shida, halisi labda ya ugonjwa, au kitu ambacho ni serious kama kansa mkono kina shambulia lakini vingi unaviyona vimengia kwenye kundila sababu zinazo kusiana zaidi na mtindo wa maisha Na hili, na hili, na.
[00:09:34] Speaker A: Hili, na hili, na hili, na hili.
[00:09:34] Speaker C: Hili, na hili, na hili, hili, na hili, na na hili, na hili, na hili, na hili, na hili, na hili, na hili, na hili, na hili, na hili, na hili, na hili, na hili, hili, na hili, na hili, na hili, Kwa ziwengi na hili, unajaribu na hili, hili, na kuhuliza, okay, mtoto hako labda latiba haki yakiwa shule ni nini yanafanya? Utashangaa mzazi hili, yanakuambia, okay, labda hua naingia dalasani ya subui, anatoka jioni, labda hapu katikati yanakua na break, labda vipindi viweli, lakini ukiangalia, fokus kubwa yimekua ni ee usiana na jambulake moja ambalo ni kusoma, lakini sio ukuaji muingine wakimwili Na wakia kili na utimamu wa mwili ya mbuo na mfanya, awezi kumudu na kuwa imala na vuo endelea na kuwa mtu mzima. Kwa huta hona kabisa kwamba fokus kubwa yamekua centred kwenye soma.
Tofauti na ukiangalia jamii ya nyuma kidogu ambasho, kipindi ambasho sisi tunasoma, utawana kuhamba tulikuwa kuweli tunablakes, lakini asubu utawana latiba ilikuwe na anza lamba kwa mchaka mchaka, ukutembea, alafufagia, mna shiriki kazi za mikono, alafubadae, mnasoma, mnakatikati, mnavipindi hapo vya kupumziga, vya kucheza, mnakimbizana, hukunakule, bada hijioni, utaona, kuna hatu likona shiriki vitu vya kucheza mpila na mchezo mingine na utaona pia mazingila hali kua supportive, kitu wambacho ni tofauti kwenye baenderewa mijietu na uyona sa hivi, unakuta ni shule ya msingi ya mbao hiko mahali, yambako wakuna eneo la mchezo na watu wa mefocus na mifumo watu ya mefocus zaidi kwenye kuu Kwenye kusaidia mtoto wa some zaidi lakini siyo mtoto wawe imala na abide kwenye lifestyle yambozi na mfanya awe, awe na afya. Baada hali ndoeza nikasema kupa.
[00:11:35] Speaker B: Na nikiongezea hapo, daktari, ni kwamba hii mifumo, tunapuongelea, so razima hami fumo kwa supportive. Ni kwanzia bale shuleni, kama usimakomba kuna kiwanje cha michezo ambacho, mtoto hanaweza, haka inda kacheza. Lakini bia kuna break time ambayo mtoto hataenda, hatacheza, hatatuka darasani, hainde akanye chai, hametembe hapo kidogo. Hatatuka darasani, hainde washroom, hametembe hapo kidogo. Lakini pia tunapuangalia mifumo hata ile njia kwamba njia ya kwenda nyumbani, mtoto wa naenda nyumbani, kuna njia salama ya mtoto kutembea kwa muguu kwenda nyumbani. Kama ni mtoto wa mbaya naenda na scuba, sanafato na scuba sabida nyumbani ni mbali, hakishushua ile same, kuna distance ndogu wa mbayo mtoto wa naeza hakafika nyumbani, hakitembea. Au akiwa nyumbani, nyumbani kuna mazingira mpono mtoto wanaeza katoka njia, akachiza kidogo, akakimbia, akachiza na wenzaki. Saa nyingine inakua ni ngumu mfano watu umeishi, nyumba ya kupanga, nyumba zimebanana inaeze kawa ngumu, lakini mazingira supportive, yani mazingira supportive naona ni kitucha muimu sana, tunaposukuja kwenye sora zima la kumjengea uyu mtoto mtindo wa maisha ambota mfanya awe active na ikuwa active italinda. Lakini nikiongelea hapa kwenye utafiti pia kuongezea kwa daktari, nikomba umeongelea swalazima la ki ratiba ya sambili mbaka sanne, sanne mbaka sanne. Ni ratiba mboi tunayona kwenye generally ndo ratiba ya shule zetu za msingi. Lakini uyu mtoto kama tukimuacha hameka sambili mbaka sanne inamana ni mdambrefu. Ni mdamrefu kwa hui mtoto hameka position moja, miangalia mbele, siyo salama kwa mugongo, siyo salama hata kwa concentration yake tuya kawaida, komba hui mtoto anatakewa concentrate masama hui. Kwa hina mana hapa kwenye mfumo pia waelimu, inaita changes, komba Tunapotrain wa limuetu. Pale, baada alisa limoja, mtoto hame toka deka 45. Mtoto anaeza, hakapewa kitu gani, chakufanya. Chakufanya tuwa refresh, asimame, awe active, kabla jarudi kwenye kipindi kiingine. Na asante. Ya, daktari unakichakwa ungezi.
[00:13:54] Speaker C: Ya, labda ninge sema kitu kingine ambacho ni muhimu ambacho kina ingia kule kule. Kama mbaliwika ya miji uradio ya nakuja na vitu vingi. Nakuta ni nachokiona pia engo nyingine ambao ni muhimu tuka izungumza leo na wasikiza juhetu wakasikia. Ni kuamba pia kumekua na najamia kuamba Wazazi wengi hawana muda na mtoto, sio kwamba ni watu wanakawa, najaribu kutafiti na kuchunguza, kwamba mtoto wameenda shule, so eni kitu ambacho kiko centered kwenye maisha ya shule zaidi kuliko relational na kugundua bazi ya vitu Kwa mfano, kwenye kundi nilo sema bimi nimekua nikiaudumia wagonjwa na mwje kati ya watoto mbo tunahona ni wajinsia ya kike kwa nzia miaka atisa, kumi, kumnamoja, kumnambili na kuna kitu kimoja nimekua nikijaribu kuhuliza bazi ya wazazi na umuliza laba, hivy mama umechia jaribu kuhungea na binti yako wa kike, kujaribu kujua kwamba maumifu ya nawe ya pata ni kweli ni kwa sababu ya Kubeba vitu vizito ni mazi ngilaki ya shule, au kuna kitu wambasho kinausiana pia na mabadiliko ya kimuli na kihomoni katika zile hatuwa za ukuwaji Na acha kushuangaza wengi wata kuhambia kwamba, hapana sijirai Na ndiru kama anashituka kwamba, haa, ifikweli katika kumbi huu na muhona mtoto ndo wameanza kulalamika malanyingi Kuhota gundua kwamba Wazazi wengi hatupeye attention kutabu maisha ya metuweka tuwe bize saidi kuangalia, kutafuta pesa, ambazo zita msaidia umitoto. Kuliko kumuangalia mtuoto na ukuwajio aki na maisha yaki kwa ujumla na nitsi zaki kwa ujumla ambazo zina muwezesha na zina mfanye, aendele kukua kiwa mtu, mtu mwenye afye.
[00:15:50] Speaker B: Ehe, daktari. Sasa tunapofigia atuwa Dr. Daniel kwenye kuwangea vitu gani vinaweza vikafanyika kwenye diami ili kumsaidia hui mtoto asingie kwenye ili tatizo la maumibu ya mugongo. Au kama taali mtoto yuko hapa, basi ninini tunaweza kufanya? Unwezo kanzia kukote. Karimu.
[00:16:14] Speaker A: Santi sana.
Tukienda katika vile vipengele vile ambabu ni bisema kwenye tafiti kwa mba visambabishi vikubwa vina vio nekana ni mtindiwa maisha lakini pia na maitaji ya shule kwa namna ya kwa mba mabegi kubeba mabegi mazito na pia na aina ya madawacha ambawa natumia shuleni. Ni kianzia kwenye mabegi, mazito, kuna tafita ambazo zimefanyika na recommendation ambazo zimetolewa na baazi ya association. Komba mtoto uzitu wabegi anatakua kubeba, anatakua uwe asilimia kumi ya uzito hake. Koyo kubwa mtoto mfano, Kilo kuminasita manakebegirake li natakiuwa liwe aslimi ya kumi ya kilo kuminasita. Kwa maki nafikini 1.6% Yes, kilo. Lakini saa ukiangalia maki mtuto na kua ambiba zaidi ya kilo moja. Shaka mtuo ambia kilo 4 lakini anakilo 10. Sasa inakuwa ni changamoto. Kwa hiyo kitu amba chakuanza, chakuanza kuweza kupungu, kuzuhia maumivu, aho kuzuhia mticho kupata maumivu, ni hiyo. Kuzingatia ubebaji wa kilo sahihi kwa mtoto. Yes. Lakini pia inaweze ikawa siyo jambu la moja kwa moja. Mfano, Sabu nitaitaji fetha kwa shule ambazo zinaitajika. Kwa mba kuwepo na utalatibu wa ototo kuacha madaftali au au vitabu ambavyo watabetumia shuleni. Saa mtoto anabeba kila kitu, anahitanacho shule, kitu anahitanacho nyumbani. Mba cho mdama inge kinazekana kikawa hakitaji kwa hiyo siku. Kwa lazima pia, jambola kwanza, shule kama shule kwaza kuzingatia latiba ya watoto kubewe madaftali, onta kubewe madaftali gyani leo lakini pia sotu kubewe madaftali lakini pia kuhepo na makabati katika madalasa ya wanafunzi kuhuweza kuhifazi vya vya shule ili wa swebebe vitu vizito sana. Tukienda kwenye enewa la tatu, enewa la madalati, yes. Nazima kuna kuboresha madalati ambayo uweze kuangalia yei haya madalati ni kweli ya na wafitu wa toto Sabu kuna watoto ni warefu, lakini mdawati yao ni mafupi. Sasa inabidi wainami sana kwa muda mrefu na iyo ina-expose. Koyo lazima shule au wakuu wa shule weze kuzingatia kuangalia mdawati diyani watoto wanafunzo wanatumia kukalia kwa jiri ya mazingira ya shule. Na saa tukienda kwenye mazingira kwa tikanamna nyingine ya mtinduyo wa maisha, Kama katika vitu nginiti hivyo sema, mtoto lazima aimalishe maisha yake ya kuwa active kila siku. Kwa mtoto yama tumsitize mtoto kama mzazi kumba mtoto ashiriki kwenye michezo. Ayalishe atakuwa na ratiba za home work nyingi, lakini lazima mtoto tuakikishe anashiriki michezo. Manayoi taa msaidia kuweza kuperekea utimamu wa afya, uliyo?
Sahihi. Yes. Akini nyambo lengine ni kuweza kuwepo na uangalizi maalumu wa wazazi kwa watoto wa mbogo. Watoto wa mbogo anapenda kutumia vifaa hivi vya electronics. Mpano matumizi ya simu. Mzazi anampaa mtoto, simu anakanae, omuda mbreifu, anacheza game. Ndiyafu.
[00:19:45] Speaker B: Ni kawida chana yoda kaae, zaini mtoto asilie, mtoto asisuguo na mipa wa simu.
[00:19:51] Speaker A: Mbenda na mabuhaya. Unakuta mtoto wa shule ya msingi, anakaa na simu, anacheza game, zaidi ya masama tatu, lakini pia anakaa katika mkahu mbaya.
Kwa sababu kicheza simu lazima utatakamu kaa mbaya. Utainama, yes. Na hii inapelekea kupo na mabadiliko katika mfumu wa misuli na mishipa na mifupa katika mgongo. Koyo lazima pia wazazu wangalii mtoto haki anatumia mdagani kuangalia TV, anatumia mdagani kutumia simu au computer. Then kuweza kueka uangalizi malumna kumambia kumekia utatatigu mtoto komba anatakia wangalia TV kua mdagani.
Yes, iyo iize kumusaidia mtutu wa sija kapata maumivi. Kwa sababu, kitu kimuja ambacho tunakiona pia kuwamba. Maumivi ya mgongo mtutu anza kapata sasa ivi lakini imeonekana ni mara nane inaweza kumitukia kiuwa mtu mzima.
Yes, na mtu mzima kipata kuna kuwa na changa mato nyingi. Saibi na tukawana tukapata saibi kapona, lakini pesha kia napata kwa sababu ya vitu vingamu tumifisema, lakini ni mara nane inaweza katoki hati na kiwa mtu mzima. Ko ni muhimu. Kwa.
[00:21:02] Speaker B: Saibi samani, saibi aneza katibiwa, ikaisha, lakini kia mtu mzima hini alikapia. Yes.
[00:21:08] Speaker A: Kama akiwa amegikita katika visababishi ambavu vina pelekia yu maumivu Kwa ni muimu kuweza kuzingatia kuamba mtoto, kuweza kuzingatia afi ya mtoto kwa namna ya kuzuhia, ivo vitu ambavu vinasababishi Lakini jambu ni ingine ni kuwakikishi ya mtoto na pata usingizi wa kutosha Yes, muda mwingi wakulala, ambavu tunafahamu Mda ambao mtoto hapaswa kulala msaidi ya masaa nane. Kwa sababu ya maendeleo tulionayo na nini, mtoto nashanga, analala saa nene saa kuminamoja mesha. Anawai school bus. Kwa ulazima pia wazazi waze kuangali ya ototo wao, mdagi anayonalala na kuweza kuwana uangazi malu. Mkwamba muda wakulala mtoto wao ulazima alale masaa nane. hii ni kwaza kuzuiya maumivya mkono. Kuna hiyo, mtazamu kuanaza kachanjia saidi. Asante.
[00:22:04] Speaker C: Asante, naona ume, nakitari katupitisha kwenye vitu muhimu ambao vina husu mtindo wa maisha Actually jamii inaevolve, unezo kaaona jamii, kuna mbedi komengi yapa katikati ya natokea Na kuna kitu kimoji ambasho ni muhimu tukiangalia pia, ujiu kwenye jamii asasa utaona kumbu wa toto ndo wana tupangia latiba Ila siu mzazi ya mpangia latiba mtoto Kwa naona kabisa kuna haja ya wazazi wanao tusikiliza kupitia dr. Rafiki wakaweka mkakati wakimba kusudi kwa mba kuna latiba, kuna vitu flani, umevijenga kwa mba ni mtoto atavifanya hili vimesaidie abide kwenye mtindo wa maisha unafaa. Itakuambia mfano wa kitu kidogu kwa mfano kwenye ulaji. Kurezo wakawona kwa mba Bazi ya familias nenezi kawa na mpangilio ule wanaamna ya kula Mbo mbepangwa na familia na baba na mama Kumba tutakula hiki, tutakula hiki, tutakula hiki Lakinu kiangalia mipangilio hii pia imefuata Ibalance diet kumba inapituwa virutubisho viyote vinaopo mdienga mtoto na kumfanya mtoto inayafya Kumba wengi tunaishikuwa wanaamna ya kimazoe atu Kumba mtoto watakula kirekilicho amulie Lakini kuna familias Mijia iliwe endelea kiangalia dialysa wa mtu, wanakomba sahivi kuna kacha ambayo mtoto waneza kamuka leo wanakombia, nataka chips, nataka ice cream, nataka nini. Kono wanakabisa ni vitu ambayo, inaizekana havi mdengi na havi toevilu tumishevi otu, lakini mtoto tayari ya mishea kusajisti ya oshiri na mnafufanya. Kitu ambacho Sio sawa, na swala mtindo wa maisha ni muhimu tuka bitiria mkazo na tukaega mkakati ya kimaukisudi kabisa Kwa sababu kama Anavyo sema, wamba mtoto lewa kipata maumivu, theni kuna hatali kubwa sana na chance inaongezeka kwenye utuuzima ya kupata maumivu ya kawa either ya kajirudia tena au ya kawa sugu kutokia kwa episode iya kwa hanzi. Kwa hizi unahona kama hatu njia tengenenza jamii enyafya, hukumbele tutegeme, sio kwa mbao tutakoa na wa gonjwa wachachi, onye maumivya mgongo, lakini tutaendelea kuwa na watu wengi, kwa sababu jamii itayari tumeanza kuona kitu ambazo, hatu kuhaya hata kufiona.
Kula, ulaji ni kitu mbacho tunapaswa tukizingatie sana. Siku za karibuni kuna tafiti imekoi kitembea nafikiri na alome yona inawahishe komba watotu walioko shule ya msingi na awanu yoneka na kuwa na uingi wakio na uzidomu kubo kuliko na utakio. Kuna hizo kawana komba Hizi zote zinakuwa ni fakta ambazo ni alarming kwa mbao, o jamii tunoi, weka ni jamii yenye watu, yenye afya, kwa huli au tayari tunamumuwa talatibu talatibu Lakini kwenye eneo lingine ambao ni muhimu pia tuliondoe kwa mzazi ni hile notion ya kufikiri kwa mbao ukuwaji wa mtoto na tegemea tuu wa kisoma pekeake Shizo pia inaonyisha ikiwa nafaida nyingi za kiafia lakini pia hata za kimaendele Kwa mfano kuna wadutu waingine wanga talents, anaeza kuchizambila vizuli, anaeza kukimbia vizuli What if tuki mdevelop au tukatengeneza pattern ya kuamba tutamu expose kwenye mazingile au kufanya swimming, au kuendesha baskelling, au kuwogelea Ni vitu vinaweza vikoonekana ni vidogo vidogo lakini vina mdienga mtoto kilimu lakini on the other side vina mdiengea kitu kingini ambacho kineza kikabalilisha maisha yake uko mbele lakini kikaufanya pia umuli wake ukawa, ukawa na afya Ya labda isho ni kitu ambacho.
[00:25:57] Speaker B: Nipenda pia kisema Masante sana. Nikiyongezea tu hapu ni kwa mbaa. Sisi kama wazazi ya watuazima, tuna role au nijukumletu kutengeneza. Tuna jukumu kwenye kutengeneza afya ya kizazi kina chofata. Na sisi maisha yetu ni mfano kwa watoto yetu. Kwa haiwezi kani kumba leo, mimi ni kitoka kazi ni nakaa kwenye TV masaa maane naenda kulala. Afu ni muambia mtoto wangu ya ki toka shule, aweke begichini ya ende ya kacheze. Hapana, naia takaa kwenye TV. Kama mimi ni nakaa pali kwenye tamthiri ya mpaka sasa 6 usiku, siwa raisi ni mfukuze mtoto wakalale, kwa sabu naia tataka kuangali yo tamthiri ya mpaka sasa 6 usiku. Kwa hiyo, kipcha muhimu sana ni kwa mbaa. Kama tunataka watotoetu wawenye afya, nesisi tunamua. Kile tunachokula, lifestyle wana tunafanya, weather sisi tuko active a watuko active. Tunakula kwa afya, watuli kwa afya. Tunascreentime kiasigiani, tunaspend kiasigiani kwenye simsetu. Tunawusiana nao kiasigiani. Ndivu, ivu, ivu na watotoetu wanakua. Sioraisi leo, mtoto ambaye hamekulia kwenye familia ambaye ni sedentary, haifanyi kitu. Kesho mkutu yuko aktiva nakimbia barabani. Sioraisi. Kwa hiyo, inarudi kuhetu sisi kama wanajamii kwa mba. Lifestyle tunayoilishi, ndoi tunaipeleka. Inakua reflected kwa atotoetu. Sawa, basi tunakomaliza. Ngependa wakaribisha kila mmoja kusema nini mwisho kwa wasikizaji wetu. Karibu, Dr. Daniel.
[00:27:35] Speaker A: Asante sana. Kitu ambacho pia ningependa kimalizia wazazi pia kuena kawaida ya kuwasikilize watoto, especially katika complaints yambazo wanazo.
Mtoto anza kuambia baba leo wiki hitu mbwema laftali mazito sana, au begi zito sana. Lakini kama huna tabia ya kumisikiliza mtoto na kuchukua hatua na kuanda kufatiria kwa nini wa toiki iyo mbwema begi mazito, itamu expose mtoto kwenye maumivya mkono. Lakini pia kuwepo na utaratibu, mtoto anapo kuwa na ukaribu na mzazi, anaza kusema baba mimi na maumivya mgongo, naitaji msaada wakaribu wa sasi. Msaumuda moingia inaonekana, kipindi chanyuma inaonekana maumivya mgongo, sio kawahida kwa watoto, kwa sababu hakuna taratibu za kuu. Kutua ripoti, au kwenda hospitali, kwa hakuna hata afita mbozi kwazi nafanyi kapa nama ii. Lakini saifu kwa sibabu yabe ya elimu kwa wazazi yambo wanaipata, namana kumikopo na utalatibu wazazi wanapeka ato hospitali kwa jili ya kupata uchunguzi na kupata matibabu sahi. Kwa yo kitu yamba chunapenda kusitiza kwa mba kuhepo na ukaribu kati ya mzazi na mtoto kuweza kufahamu. Nini mtuto napitia, shiuleni, lakini nini hatuagani ya kufanya. Na.
[00:28:56] Speaker B: Shukuru samo. Asante.
[00:28:58] Speaker C: Karibu dokta. Asante, labda nenolangula mwisho kwa sikiza juretu ni muhemu wakaa. Kawa ni ambawe wa mbeni sikia ni kisikiza mala kwa mala kuwa na mikakati ya kimasudi. Actually tunavyo chikuwa bazi ya tuwa kuwekeza kwenye maisha ya watotoetu. Tusifikiri tu kuwekeza kwenye pesa, kuwekeza kwenye mtu vingine, hila kuwekeza pia kwenye mtindo wa maishi yambo na wafanya wa dutu wetu wawe na afya. Kwa zambabu tu kiwekeza kwenye jemihia sasa, then beleni tutavuna matokyo ya kizazi chenye afya na vijana, na wamama, na wazei yambo watakuwa very productive. Kwa haya ambao tunayasikia na haya ambao msikizaji wetu anayasikia ni muhimu wakai chukulia Umakini na umanani na haka chikuwa hatu uza kimauksudi kwenye mahali ya mbakwa likuwa ona hafanyi vizuri hasi anzi kufanya vizuri kwa sababu lengo ni moja ni kujenga jamii.
[00:29:59] Speaker B: Ya nyiafi Asante sana. Mskiza jiuetu wa doktara afiki ya Afrika na amini leo umejifunza vitu vingi na umepata kitu ambacho utaenda kuchukua hatua ili kuboresha afya ya mtoto ako. Kama na maumivu, basi kuyadhibiti, lakini kama hana, Umlinda asipate haya maumivu ya mugongo. Basi, karibu, utusikilize wa kupitia YouTube, Spotify, Boomplay, au Epo Podcast. Ukiandika Dr. Rafiki Afrika utatukuta. Akikisho meandika ile Afrika. Lakini piata ukiingia Google, ukaandika Dr. Rafiki Africa, utatukuta pale na unaweza kusikiza episodze tu mbali mbali. Swalazima la maumivu ya mugongo tu meliongelea kwa upana, tu melongelea kwa bari wa atuazima, visababishi nini unaweza kufanya, kwa mama ya wazito, visababishi ni unaweza kufanya na leo tu melongelea kwa atoto, visababishi na nini unaweza kufanya. iniweze kusikiliza hizi episodi nyingine zote ingia dr.rafiki afrika utatupata pale na hizi zote utazipata asante sana usisao kusubscribe kulike and kama unaswali walote tuandikie pale kwenye comment section nitoto akwa na changamoto gani au wewe ulipopite yo changamoto ya mugongo ulifanya nini tungependa sana kukusikiliza mbaka episodi ijayo kwa Harry.