Karibu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki, tukiangazia juu ya mambo kadhaa ya kufahamu kuhusu 'Uchangiaji wa Damu' kwenye vituo vya Afya au kampeni za uchangiaji damu zinazoandaliwa na mashirika mbalimbali Tanzania.
Karibu kwenye episode ya leo ndani ya Doctor Rafiki Podcast tukiwa tunaangazia zaidi juu ya haki zako msingi unapokwenda kupata huduma za Afya katika...
Kipindi hiki kinazungumzia changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana — msongo wa mawazo, hofu ya maisha, presha kutoka kwa jamii, mitandao ya...