Habari rafiki, karibu kwenye episode mpya ya leo, tukiendelea na mada yetu kuhusu pumu ya ngozi. Wiki hii tukiwa na Daktari bingwa wa ngozi, Dr. Salva Nicas, tunazungumzia kuhusu suala la kupona kwa pumu ya ngozi (eczema). Je? ni kweli kuwa pumu ya ngozi haiwezi kupona kabisa.
Karibu kusikiliza
Karibu kwenye podcast ya doctor rafiki, tukizungumzia kwa kina kuhusu mazoezi na mtindo wa maisha kipindi cha likizo, karibu ungana nami host wako mahiri...
Habari Rafiki, karibu kwenye podcast yetu ya leo na wiki tukiendeleza mada yetu kuhusu Chanjo ambapo tutaangali kwa kina utaratibu wa chanjo Tanzania. Karibu...
Habari Rafiki, karibu kwenye episode mpya ya doctor rafiki, wiki hii tunazungumzia magonjwa yasiyopewa kipaumbele yanavyoweza kuathiri afya ya mama na mtoto. Karibu ungana...