Habari Rafiki, karibu kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki Afrika, tukienda kuzungumzia suala zima la ngozi. Wiki hii tunaungana na Daktari bingwa wa masuala ya ngozi, Dr. Caroline Masanje tukiangazia jinsi au namna ya kutunza ngozi yako usipate chunusi.
Karibu Kusikiliza.
Unaweza kutuandikia maswali au maoni yako kupitia:
Email: [email protected]
Hii podcast inazungumzia juu ya kansa za utotoni, ikiwemo uwezekano wa kupona na kuendelea na maisha yenye afya. Utasikia shuhuda kutoka kwa Kelvin Kashaija...
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuhusu Watoto Njiti. Unafahamu nini kuhusu watoto njiti? Kuna shida gani inayosababisha kuzaliwa kwa watoto njiti?...
Habari Rafiki, karibu kwenye Doctor Rafiki 2025, tukianza mwaka na episode nzuri kabisa kuhusu Kuboresha Afya yako. Ungana na host wako mahiri Dr. Julieth...