Habari Rafiki, karibu kwenye Doctor Rafiki 2025, tukianza mwaka na episode nzuri kabisa kuhusu Kuboresha Afya yako. Ungana na host wako mahiri Dr. Julieth Sebba akielezea kwa undani njia tano rahisi za kuboresha Afya yako.
Karibu sana.
Kwa maswali, ushauri nk. Wasiliana nasi: [email protected]
Fahamu kwa kina kuhusu lishe kwa wagonjwa wa moyo na presha na Dr. Juliet Sebba na Dr. Martha Kungu
Karibu katika episode ya tatu na Doctor Rafiki Katika mada yetu ya Chanjo. Episode hii tupo na mgeni Dr. Irene Mageni ambapo kwa pamoja...
Karibu kusikiliza episode ya 02 ya DoctorRafiki, na wiki hii tukiendelea na mada yetu ya 'Afya ya Akili kwa Wanaume', tukiangalia sasa changamoto katika...