Karibu kwenye Doctor Rafiki, Wiki hii tunazungumzia namna ya kufanya uchunguzi wa titi. Jumuika nami Daktari wako, Dr. Juliet Sebba, katika muendelezo huu wa Kansa ya titi.
Karibu kusikiliza episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wakati huu tukizungumzia sifa na tabia binafsi zinavyoathiri afya yako.
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuhusu Watoto Njiti. Unafahamu nini kuhusu watoto njiti? Kuna shida gani inayosababisha kuzaliwa kwa watoto njiti?...
Mwisho wa mwaka huleta changamoto nyingi kama presha ya kukamilisha malengo, mawazo ya mwaka mpya na mambo mbalimbali. Karibu kwenye Doctor Rafiki podcast kujifunza...