Katika kipindi hiki cha Doctor Rafiki kwa kushirikiana na Nutrihaven, tunazungumzia umuhimu wa virutubisho kwa makundi maalumu kama wazee, wanawake kabla na baada ya menopause, wajawazito, wanaonyonyesha, na watu wenye magonjwa sugu.
Dr. Julieth Sebba na Dr. Carl Mhina wanakupa mwongozo wa kitaalamu kuhusu wakati, sababu, na tahadhari za kutumia virutubisho kwa afya bora.
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukizungumzia suala zima la Kujiua. Ungana nami Dr. JulieT Sebba, tukizungumzia kwa kina suala hili.
Hi rafiki, mambo vipi? karibu kwenye episode ya leo, na wiki hii tunazungumzia suala zima la ngozi tukiangazia kuhusu bidhaa salama na zisizo salama...
Habari Rafiki, karibu kwenye podcast ya leo, tukizungumzia mambo 08 muhimu ya kufahamu na kufanya kwaajili ya Afya na furaha ya mtoto wako. Ungana...