Episode Transcript
[00:00:00] Kuna wakati kwenye maisha tunapitia kwenye vipindi ambavyo, kuna kuana presha kubwa sana ya kuperform au kufikia malengo.
[00:00:08] Mfano kama kipindiki ambacho tuko muisho wa muaka, ofisi nyingi zina kuana target za kufikia, lakini hapo hapo. Wanafunzi, uwe ni mfanye biyashara, kuna vitu mbabo unataka kuachieve.
[00:00:22] Kabla mwaka ujaisha, kuna targets, kuna KPI zao kuma ofisini.
[00:00:27] Kama ni mfanye biyashara, unataka kufunga maisabu, unataka kisho umifikia malingo flani.
[00:00:32] Kuna vitu mbabo unaitaji kufikia. Lakini pia kuna wanafunzi yamba wanaenda kwanza chuo first year, na hinyi nakuja na pressure nyingine kubwa.
[00:00:43] At the same time, wakati unastruggle kupitia hivivitu, wikichachezi hizupita kama taifa tumepitia changamoto.
[00:00:50] Ambayo imeathiri kila moja kuwanamna moja unyungini. Kwanza, meyanzi kwa kusuma kumbati mzima ya doktora rafiki ya Afrika, tunatua pole, kwa watu wa mbao mupotelewa na ndugu zao, mupotelewa na familia. Pole ni sana, tunaomba kwa jingi ya emanu yenuchi, lakini pia tunaomba Mungu wabifaraja na kutuzisha kama taifa kufuka katika kipindi hiki.
[00:01:17] Na sasa katika kipindi hiki badu maofisi mitu na target za kufikia especially kama mtu nafanya kazi kwenye corporate area.
[00:01:27] Tuna target kabla zamushu wa mwaka. Mashuleni kuna kazi lazima wanafunzu wa rudi. Osome, ufanye, unifanya biyashara, kuna funga maisabi wa mwaka. Basi ma target fulani ufikie.
[00:01:40] Kuna stress kubwa ya... Kuna pressure kubwa ya kufikia vitu na kuwa productive, lakini at the same time akilizetu zumebite changa moto ambawe na inatengeza stress kubwa.
[00:01:52] We, unatakia wa kufanya kitu, unajiua kumbwa unatakia wa kifanya, Lakini unohona akiri yakwa haina uwezwa kukifanya.
[00:02:01] Hai rafiki, mambo vibi. Naito Juliet Seba, ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Karibu unganenami katika podcast hii ya afya rafiki kila siku ya alhamis.
[00:02:17] Lengo ni kupati ya tarifa stakazo kwezesha kufanya mamuzi bora yue afya yako, familia na jamina yako zunguka.
[00:02:28] Na ingitwa Juliette Seba ni daktari na mtafidi katika sekta ya Tanzania. Na leo, tunayenda kuongelea hatu wa sita ambazo unaweza kuchukua. Practical steps. Ambazo unaweza kuchukua kukusaidia kuweza kuwa productive au kuongeza ufanisi waku katika kipindi ambacho unapitia msongo au stress.
[00:02:52] Kwa hiyo jinsi geni unaweza kuwa productive katika ikipindi ya bacho unapitia stress. Kwa sababu hiyo vipindi vipo lakini maisha ya simami inabidi tuendele, turudi maofisini, turudi mashuleni, turudi kwenye biyashara. Kwa hiyo tunaenda kuwangelia steps ambazo unaweza ukapitia hili kufika hapa. Kwanza ni kuambie kila mtu unapitia stress.
[00:03:17] Na unachokiona kwenye mwiliwako, mwiliwako unapogroma kufanya kazi. Paramipo unafika kazi inenendo, unakastikunzima.
[00:03:24] Kitu ambacho ulikono kifanya kwa mida alisari moji, unakutumia meza masama ne, na kahuja kifanya, ni mwiliwako unakuambia.
[00:03:34] Pause.
[00:03:36] Mwiliwako unakuambia. Pause.
[00:03:39] Kwa sababu ngoja ni kumbia rafiki yangu, hata kama uwe hau kufiwa katika kipindiiki, lakini ili hali ya sinto family yo kwepo, imi kwa thiwi. Na kwa sababu iyo, kwa nchi wa moja unyingine, umeathiriwa. Tunapopitia kwenye changamoto kama zile, kuna vichochezi ya hormones ambazo zinatengenezwa kwenye milietu, ili kutueka tayari, upambana, ili tunamusema flight of room.
[00:04:06] fight, lakini pia ili kutuweka salama ini muri wetu unakua kwenye hali fuani ya kua tense na kwa sababu ya hizo hormones kwa mdamrefu ndo unakuta kuna ziye daye vitu kama cortisol na adrenaline zikika mdamrefu ndo zina kua secreted unakuta kuna viwe vitu kama mfano mtu unakua irritable, unakasirika raka, unashindo kupata ustingizi vizuri. Kuna watu engine vipindi kama hivi appetite, Kumbia sina hamiakula tu, sijisikikula. Kuna mtu muingine hataki kukana watu wanajisikia kuwithdraw, hataki kufanya zile activities wa yuzo kuwanafanya kila siku. Zote izo ni dalimbali mbali na zoto kana na ile pressure ambayo umepitia. Songo wa mawazo ambayo umepitia. Au stress ambayo umuliwako inapitia. Ineze saa isio directly kwa mba wewe hapa umepigwa, lakini kwa sabi ili hali loko endelele. Wanamna moja ya unyungine tarifa mbazo umekuoki zibuke. Wanamna moja ya unyungine zimifanya, umeathirika, mwiliwako umeathirika na unapona mwiliwako unagoma kufanya, kufuata kilo unachutaka ufanya. Unamana mwiliwako unajaribu kukuambia, pause, pause.
[00:05:25] Na katika kipindi kama hiki, the more unavu jilazimisha wanguvu.
[00:05:30] Ufanya kazi, ufanya kila kitu kama vila amna kilichopote, amna kilichotoke. Kazi yuko unaifanya kwa masama tatu, unurudi, unajilajunusha kufanya kwa masama tatu, unakunywa kaawa, unakesha.
[00:05:43] It's the more you're making things worse. Yani ndo unavu zidi kuaribu, unavu zidi kupastress mugi wako. Kwa sababu inamana Hata kile kiwin kidogwa mbacho ungepata, kakituka dogo mbako ungefanya mulu kafurahi kwamba ukapata dopamine, hormone kwamba umehiza kuachieve kituwa kipo.
[00:06:02] Kuhona zili kuweka mula huku ni stresi zaidi na hakunataka choeza kufanya.
[00:06:08] Sasa nini tufanye kwa sawa kwenye gipindi kama hivi? Uwezi kufanya mamuzi anaweleweka. Kama uwezi ni mtombo unafanya kazi kwenye creative space, mfanu, watuwa choraji, watuwa muziki na nini. Uwezi kuto wakati mungine, hata ideas auna kwenye kazi. Lakini pia overall health ya mtuafia mtu volume la inathiriwa. Kwaso kama mtu hawezi kula vizuri, hatoki kuinteract na watuwa fanyi mauzoezi, hapati usingizi vizuri, inamana afyayaki mmoja kwa mmoja inathiriwa.
[00:06:41] So, kitu chakuanza kabisa ambacho ni muhimu sana kufanya ni pause.
[00:06:50] Yani, kubali kwa mba muli wako umepitia changamoto, muli wako umepitia msongo wa mawazo, lakini pia unastress na unaitaji kupumzika.
[00:07:04] Na, moja hapu ya njia ambazo unareza kutumia kupause, Kwanza, pata usimgizi wa kutoosha. Lala, lala usipu jamani. Nitaidi lala pumzika.
[00:07:18] Umzika usiku. Lakini even during the day, unanjia mbali mbali yambazo wato psychology wa natufundisha, kumba zinezo kutusaidia kuriset mfumo yetu wa never, ambasima never system. Kukufanya uludi katika hali ya utolivu. Asasa pala mpona jikuta, unajisikia kama mawasu ya nakimbia. You're overwhelmed. Yani unasikia kama vio pigi ekelele falani, vya umchape mtu kibao.
[00:07:46] Kunanjia mbali mbali. So muja hapo ya techniques ambazo tumukundishwa ni breathing techniques, au njia ya kupumuwa ambayo inaweza kusaidia ukaumu au ukutuliza. Kutuliza mazo yako, kutuliza mfumuwa kwa famu, kurudi uwe kwenye hali ya kaida. Hii inaweza kutumia.
[00:08:07] Inaitua 478. Kwa mba?
[00:08:11] Tunafuta hewa kwa sekunde enwe, tunahold iliwa yani tunashikiria kwenye mapafu kwa sekunde saba, tunaitoa kwa sekunde nane.
[00:08:23] Kwa sekunde nane manakinikomba, yani unaitoa tatibu, tatibu, tatibu, baka sekunde nane zote ziishi.
[00:08:33] Tunavuta kwa sekunde 4, tunakana yondani ya mapafu kwa sekunde 7, halafu tunatoa kwa sekunde 8.
[00:09:13] Namini umefata na mimi na zimefika nani.
[00:09:17] So, iyo ni njia mwja hapo ambayo naweza kutumia.
[00:09:21] Unapokuwa kwenye mazingiri ambayo, unajisikia stress, unajisikia uko overwhelmed.
[00:09:28] Mfano kazini, uenjiani, same yoyote.
[00:09:32] Unajisikia uko stressed, uko overwhelmed.
[00:09:35] Una, unataka kupoze. You can do that. Unaweza kutumia uenjia mdaoze.
[00:09:41] Ita kusaidia kuwa kaida. Saa ngini ata kabla kufanya decision. Saa ngini ata uwenge ofisini, lakini ani uelewe kitu. Ndiyo kwenye mazingira kama haya amboyo.
[00:09:51] Mwishu wa mwaka, there's choice to perform na otario na jisikia kutenstu. Unaweza kusikia kujia kelele.
[00:09:59] Nenda washu mdada.
[00:10:01] Vutahewa kwa sekunde 4.
[00:10:04] Shika kwenye mapafu ya koko sekunde 7.
[00:10:07] Yachilie 3 tibu kwa sekunde 8.
[00:10:12] Hapo utakuwa umiweza.
[00:10:14] Kutulia sasa, angalau kurudi kwenye hali yako, ya kawaida.
[00:10:19] Njia pili ambayo au hatuwa ya pili ya muhimi sana. Kwanza tumesema pause, pumzika, pumzika.
[00:10:28] Ukubali mwili wako kuamba unaitaji kupumzika, mwili wako unastress na unaitaji kupumzika. Unaitaji utulivu, unaitaji utulivu.
[00:10:37] Yapili, tunasema identify and prioritize.
[00:10:40] Hambuwa nini ki nakupa hii msongwa mawazo alafu upanga kwa mipa ubere.
[00:10:48] Kwanjia hii unweza kwaandika.
[00:10:51] Mojapu ya njia nzuri sana za kusaidia kuimprove kwenye swalazima la msongwa mawazo wa kusaidia kwa benda na unekuandika.
[00:11:00] Unaweza kwaandika chini ni vitu geni vina kufanya unasikii o kofu a u msongwa mawazo unapitia. Inauzekana ni komba unabiliza kulipa na haunaela kwa sasa.
[00:11:13] At the same time unawatoto na utakio kunda shule kulipiwa hada ya uwanengia shule ni ya uwanengia semester nyingine ya umuula mungine na badu hada hijapatikana na ndo biyashara wikona tagimea na ndo biyashara wipite changamoto. Kwayo unahilo na alo. Inauzekana ni mtoto na itajikitufani. Inauzekana ni kazi ni kuna report ina deadline ulatakio kutuwa. Unapepa unatakia upublish kama mimi na ujafanyikiwa bado.
[00:11:42] Unadayiwa na supervisor wako kule shuleni.
[00:11:47] Vitu balimbali. Andika chini. And then from there gawa ni vitu gani ambavyo unakontrol na vyokomba unaweza kufifanya wewe viko ndani ya wezo wako na vitu gani haviko ndani ya wezo wako.
[00:12:00] Vile ambavyo haviko ndani ya wezo wako, wekapebe.
[00:12:04] Least utakai ufanyana yo kazi ni ya vile vitu ambavu viko ndani ya huzo hako kufifanya. Let's say kwa wiki zili zo baki mbaka mwisho wa mwaka huu. Sawa?
[00:12:17] Zasa katika vile vitu ambavu tumeviandika kumba tunaweza kufifanya.
[00:12:21] Ndo tuna kujia kunye kuprioritize.
[00:12:25] Nini kianza? Zasa hapa unaweza ukajwikea malengo matatu matatu. Kumba badaya kufanya vitu viote 15 na viandika kwenye to-do listi yangu ya leo, na vigea vitu vitatu vitatu. Vifanya vitatu vya kwanza na weka tiki.
[00:12:43] Naenda vitatu vingine na weka tiki. Kwa siku, naizan kwa nimejikea masaa yangu ya kazi, hapita nitakona masaa ya kazi ya subui, na hivi ndo vitu vitatu nishakavuli.
[00:12:53] Unapofanya hivo, unajipunguzia wewe ile mental pressure.
[00:12:59] Pressure ya kwamba lazima nifanya hivi vitu vyote at once. Na lazima viishe vyote leo. Hapana. Unapofanya hivo taali unajiongezea wewe pressure.
[00:13:09] Kuna weza ukaweka hivo kwamba kuna vitu ambavu wanita vifanya.
[00:13:16] Vitatu leo, vitatu kesho, vitatu siku ni rufata, au vitatu subui, takapupata mda mungine, talifanjina vingine vitatu. Yo ni ato ya pili.
[00:13:27] Mwamba tambua ni vitu gani vina kupa stress, andika vyote, tenga vila mbabu viko ndani ya wezo wako na vila mbabu viko inji ya wezo wako. Mbabu viko inji ya wezo wako, weka pembeni.
[00:13:41] Mtu moja ali nifundisha, haka niambia, kama kitu kiko nchi ya wezo wako, usikiongele, usikizungumzie, wala usikifikirie. Kiweke pembeni, kiko nchi ya wezo wako. Kitaku-stress tu, chukua vila mbabo viko ndani ya wezo wako kufanya, mba hivi ndo vitu na vitaji kufanya.
[00:14:00] Vigea we, weka priority kwa vipa umbele, kwa mba nitaanza kufanya hivi vitatu, nikimaliza nitafata hivi, nikimaliza nitafata hivi. Anza kufanya kazi.
[00:14:11] Hatua yetu ya 3 tunayenda kufanya ili kuboresha ufanisi wetu wakazi katika kipindi hiki chamsongo wa mawazu wa kipindi chastress ni utengeneza ratiba ya kila siku kwa malengo.
[00:14:28] Tsawa. Kwa hiyo, tumesha juhu vile vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu vitu Nitaongea na supplier, kutoka wapikari ya koo, nitaongea na mwinga, nitaongea na mtu flani, kama unifanyi biasha. Aye, wewe ni wa corporate, kesho ni kia muka, nitafanya koordination ya kitu flani, nitafanya hiki, nitafanya hiki.
[00:15:10] Wewe utengeneza ratiba yako ambayo inakwazisha kujua, utakuwa unafanya nini kwenye siku na ufata. Kwenye ile ratiba, hatuweki yale mamboye wate. Remember, Tumesume tunaweka zile taske zetu tatu. Zitaka puisha, zitafata tatu nyingine.
[00:15:26] Na unakupanga ratiba yako, iwe flexible.
[00:15:29] Kwa mba, hapa katikati unapusikia kwa mba unechoka.
[00:15:33] Take breaks during the day.
[00:15:36] During the day, yani take breaks.
[00:15:39] Chukwa mapo mziko. Ukisikia umefika same uko overwhelmed, fanya the breathing technique. Nendaka tembenje, ndaka kumirudi.
[00:15:48] Hivo hivo, taratibu. Mmoja hapo ya siri kubwa ya kufanya kazi, mwenye vipindi kama hivyo ambavo presha ni kubwa.
[00:15:57] Ni pause. Yani lazima ujifunze pause, lazima ujifunze uibeba kili ako, unaebeba kama yayi, yani unaebeba kama yayi. Taratibu. Kwa sababu, ukifanya unaenda na presha.
[00:16:11] Productivity yako, you can actually go back to zero. Yani usifanyiki chuchuchute chamana.
[00:16:16] Tsao, au kafanya vitu lakini havi na ubora.
[00:16:20] Kwa hivi ufanya vitu vya ubora, ni muhimu kuchukua breaks, ni muhimu kuangalia kilia kwenye indani. Saa ratibu, na mtu mwaja alinifundisha kanembia, unapopanga task uzaku, kwenye vipindi kama hivi.
[00:16:34] Anza na vitu ambavo weo unabiona niviraisi na unahoiza kumifanya kwa yi pesi. Umfano.
[00:16:41] Kama wewe ni mtu ambayo koordination kwa konjembu raisi, kuna watu unaitaji kuapigia simu, kuna vitu umanyo vya kufanya, panga makarata si fulani, panga ofisi yako, kama kuna task kama hizu kwenye msitari wako, weka hivyo vitu.
[00:17:00] panga nyumba yako, fagia, yani task fulani raisi. Kwa sababu ubongo huko hivi, unapofanya task kama huliweka kwenye zile tasks zaako tatu. Na mimi kwenye vipindi kama hivi hua naandikata zile simplest things, yani hile vitu simple ambavu sukunyengine uwaga na vifanya kwenye airplane mode, yani automatically.
[00:17:23] Vipindi kama hivi na viuweka kwenye zile tasks zaangu tatu. Uengo ni nini?
[00:17:27] Ni kikifanya I celebrate.
[00:17:31] Ninajishangilia kumba, okay, safi.
[00:17:35] Jihana nilikuwa nimeyamuka siwezi kufanya kichochote, nimegisike niko overwhelmed, nasikia kukasirika, lakini leo nimeyamuka, nimetanika kitanda, nimesafisha nyumba.
[00:17:46] Yambola kwanza nimetanika kitanda cha kwanza, nimesafuse nyumba cha pili, nimefanya nini, nimechemisha maji cha tatu.
[00:17:55] Vyote hivo, kwa sababu umeweza kuachieve kitu muli wako na chia hormones mzuri, na chia dopamine.
[00:18:03] Happy hormones, tunastayi makozi. Hormones na kwenye uexcited, kundila kutafuta kitu kingine kizuri saidi cha kwenye. Kama vio na u-trick. Ubongo, kama hivyo ambavo uwagaa, tunampa mtoto zaadu. Wa mtoto kimpa zaadu, unambia, kifau umtiani, takumulia by scale. Kimulia by scale, unambia, kifau umtiani ujiao, itakupeleka kutembea sa mflani, ndoona votri kubongo kwa hikipindi kama hiki. Kwa hiyo, unaselebrate hivyo vile vitu vidogu vidogu. Kwenye zia task zaako, anza na vitu ambavo ni manyo, kama ue ni mtu kama uko kwenye akademia unafundisha.
[00:18:41] Anza na vitu ambavo ni manyo, task ambazo ni rahisi, unaweza kuzifanya usutumia kilinyengi. Kwa sababu unawo ziachieve inamana.
[00:18:50] You get the happy hormones, you're tricking your brain to start feeling good, to start feeling that it can actually do something.
[00:18:58] And then badaya hapu, unansa za taratibu, unaenda unaongeza uzito. Yani ni kama vio unatrain ubongo wako, unapanda ngazi. Taratibu, taratibu, kondawenye za task ngumu.
[00:19:10] Hatuwa ene, hatuwa tata tumesema uwe naratiba. Hatuwa ene.
[00:19:15] Move your body.
[00:19:17] Hakigisha mwili wako unafanya kitu.
[00:19:20] Kwa sababu.
[00:19:22] Weather ni kutembea, weather ni kustrech, weather ni kuchezaka mziki kidogo, weather ni kukimbia, weather ni kondajim, chocho tembacho unaweza katika muda u. Na tembea hata kule ndani ya nyumbako, tembea hata ndani ya ofisi, tembea ndani ya dukalako, na kika kumi kuminatano inaweza kuboost.
[00:19:45] Kili yako, kuboost modi yako, ukajisikia vizuri zaidi.
[00:19:49] Asa vile vipindi ambavo, unajisikia uko overwhelmed, unajisikia kama kupigia kerele, unajisikia ukasirika.
[00:19:56] Umutoka nje, kapate fresh air, tembea daka umerudi ofisi ini, inaukusaidia. So muu yu body. Kunya kipindika maiki ya kikisha kwa mba, una tembea, unafanya kitu ambacho kina ufanyesha mazoezi fulani.
[00:20:14] Inasaidia circulation ya damu, inasaidia kupata happy hormones, inasaidia kupata mood nzuri zaidi, kustabilize mood ya hapu.
[00:20:31] Kitu chia tano, chia muhim sana, ni kwakisha kwamba katika kipindiiki, unakula vizuri, unapata balanced diet, unakunyo magia kutosha, ni muhim sana konya kipindiiki.
[00:20:46] Na unapopitia kipindiiki ya stress kama hiki na badhu unatakia wa kuu. Fanya kazi kwa ufanisi ni risi sana kujisao, kuskip lunch usile, kuskip chakulacha usikuwa, kuskip chakulacha asubui kwa sababu huko bize na nini. Lakini hiyo siyo sawa. Unaitaji mwiliwako ule, unaitaji mwiliwako upate magia kutosha, unaitaji mwiliwako upate makumziko. Kwa sababu unaitaji mwiliwako urudi katika hali yake ya kawaida ili ufanisi ue.
[00:21:17] Mbuka mwiliwako umepitia stress kwa kiongo falani. Unataji mwinga kuurudi kwenye alia kakaida ili afanisi waipo. Kula balance diet, chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula chakula Kukaa mwenyewe, kujitenga, na kufanya kila chakula chakula kitu mwenyewe. So, chak pata mdawa kusosialize na familia, marafiki. Ongea, pigia story.
[00:21:55] Kama wanapenda mpira, angalia mpira. Kama wanapenda, nini, nini, ni mtu wa kanisani, nenda kanisani, nenda mskitini.
[00:22:06] Sosialize, talk to people, pigia watu simu, julia watu hali.
[00:22:12] ni inasaidia, inasaidia kwa sababu unapu share weatha ukosawa au wakusawa, inasaidia kupunguza pressure, punguza mtongwa mawazo katika kipindiki na inaimprove mobi ako.
[00:22:27] Sasa bonus point kwa hasa watu ambawa kukatika mazingia ya ofisi, kwenye kipindiki kama hiki, Nikipindi ambacho ni mwimu sana kuangalia progress over perfection. Yani kuangalia wamba watu wanaufanya kitu.
[00:22:45] Targets zibundiyo na target katika mwaka uu na vipindi kama iwi zinaweza kufikia wa hauzi sifikia. Lakincha mwimu sana ni kujali afya na wamba watu wapo kazini, wapo tu wanafanya kazi. Inaweze kana working hours ziwe zile zile Kwa sababu sanjono, ezo kafosu watu kunyakazini, wakakaiyo, sambiha subu impaka sakumi, lakini wakatumia masama uitu kufanya kazi. Masa yote alo baki wakawa natumia umeme na magia ofisi, lakini hamu namba yuko productive.
[00:23:19] Kwa yo moja hapo ya njia ambazo kama ofisi pia au tasisi naweza kuchukua ni kwanya flexible hours kwa mba watu wanoweza kuingia masaa flani ambayo waku productive zaidi na siwa lazima kukama saa yote. Naajua kuna tasisi ambazo zinaweza na tasisi ambazo zotu kufanya hivyo lakini ni flexibility ambayo kama tasisi watu wanoweza waku kumsida.
[00:23:42] Hilikuwa na productivity na usipoteze magi na umewebure unnecessary.
[00:23:48] Lakini pia ofisi nyingine wanaweza kutuwa uhuru wa watu kufanya kazi hata nyumbani, kufanya kazi njia ofisi kwamba mtuwa unawezo wakukase mwambayo wanaona mentally, yuko more comfortable, yuko more stable, uweza kufanya.
[00:24:05] Another very important point pa watu wa productivity, especially kumu tasisi our companies, o kama weni kiongozi wa team flani ni kumbagatika kipindiki, Siwa lazima vitu vyote vifanyike.
[00:24:20] Prioritize. Chagua mambu wa mbayo ni ya muhimu ni lazima ya fanyike katika kipindiki, katika mwaka huu.
[00:24:28] Mambu wa mbayo ni lazima kufanyika, au steps hambazo ni lazima kufanyika ufikia target, zifanyike hizo.
[00:24:36] Bass. Prioritize. Yanisiwa lazima hele mambuyote, zile outings zote ambazo timu wa inatoka na nani, na meetings zote zifanyike no.
[00:24:47] Only the necessary. Kwa sauka tikaipindiki. Kila mtu hamechoka, it's the end of the year, lakinifya kwa sababu ya changamoto ambayo.
[00:24:56] Sisi kama jamii yote tumepitia, kila mtu anaburn out.
[00:25:01] So, do the necessary. Prioritize. Tasks ambazo niza muimu. Iri kufikia targets.
[00:25:08] Ndijo izo zinariza kuwa kufanyika lafu vichu vingine ambavo suyo vya muimu sana.
[00:25:14] Visi fanyike.
[00:25:16] Yeah.
[00:25:17] Ku-conserve energy ya watu.
[00:25:20] Yeah.
[00:25:21] Yeah. Ivo ndo vitu ambavo kama taski zinariza kushawari. Yeah. Kama kiongozi unimuda muimu sana.
[00:25:29] We kama kiongozi watasisi kuangalia watu wako hali yawi koje.
[00:25:35] Atuwezi kusema kwa mba kila mtu yuko sawa. Awo kusawa butu mtu hajia fio, basi yuko sawa no.
[00:25:41] Tumepitia ote mental health stress na kwa hivu, be considerate kwa atuwingine.
[00:25:48] Chia muhimi sana ambacho pia naweza kusha uri wa mbo nasikiza leo ni kwa mba pole, kwa ambacho mepitia.
[00:25:58] na chukwa hatu wa kwendele ambele. Chukwa hatu wa kwendele ambele. Steps ndogo ndogo katika kipindiki. Steps ndogo ndogo. Chukwa steps ndogo ndogo kuweza kuludi kwenye biyashara, kuweza kuludi kwenye kazi.
[00:26:15] Chukwa steps ndogo ndogo. Akili yako, that's how you train it.
[00:26:19] Kwanzia small tasks, unaenda unaongeza. Siyo raisi, Hote tumibitia changa moto, lakini inabidi tuendelembe.
[00:26:29] Na hii naweze siyo ya mwisho kwenye maisha ako. Kama community hii tumapitia halewa, lakini hii naweze kikatuke siku ngini kwenye maisha ako kawa unapitia pressure na bado unatakewa kuperform.
[00:26:40] Steps are the same.
[00:26:43] Steps are really, really the same. Chakwanza, pause.
[00:26:47] Taumbua komba mwili wako na akili wako inataji utulivu katika kipindiki. Kwa hiyo, usaidia utulie.
[00:26:55] Chapili, prioritize.
[00:26:58] Ni mambo gani yanasakia kufanyika kipindiki katika kipindiki. Yapi ya konjia uwezo, yapi ya kondani ya uwezo wako. Yalioko kondani ya uwezo wako, prioritize, yafanye. Atuwa kwa atuwa. Anza na yale ambayo ni maraisi konda yale ambayo ni mabumbu.
[00:27:16] Step ya tatu, akisha komba kila siku, kuna ratiba, ambayo itakwezesha kuliwa na poa amuka suku ya kesho, nini ni naamuka kifanya.
[00:27:26] Step ya ne, move your body, fanya mazoezi madogo madogo, ambayo itakwezesha kuimprove akivi yako na moodi ako katika kimdiki.
[00:27:37] Step ya tanu, ayamuimu sana, kula vizuri, kunyo majia kutosha, lala.
[00:27:45] Tepi ya sita, connect na watu, network, connect na familia, marafiki.
[00:27:53] Tuonani katika episode ijayo, mungwa kutunze, mungwa kufadhi, na mungwa kusaidie kufuka katika kipindi hiki.
[00:28:02] Bye!