Latest Episodes

UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUCHANGIA DAMU
Karibu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki, tukiangazia juu ya mambo kadhaa ya kufahamu kuhusu 'Uchangiaji wa Damu' kwenye vituo vya Afya au...

LISHE KWA WAGONJWA WA KISUKARI
Karibu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki kusikiliza na kujifunza kuhusu lishe kwa wagonjwa wa kisukari. Ungana nami Doctor Juliet Sebba pamoja na...

LISHE KWA WAGONJWA WA MOYO NA PRESHA
Fahamu kwa kina kuhusu lishe kwa wagonjwa wa moyo na presha na Dr. Juliet Sebba na Dr. Martha Kungu

SONONA NA MSONGO WA MAWAZO MAOFISINI
Karibu kusikiliza podcast mpya na Doctor Rafiki, wiki hii tukiwa na mgeni, Doctor Martha Kungu kutoka 'Afya Passion Clini' tukizungumzia kuhusu sonona na msongo...

SIFA NA TABIA BINAFSI ZINAVYOATHIRI AFYA YAKO
Karibu kusikiliza episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wakati huu tukizungumzia sifa na tabia binafsi zinavyoathiri afya yako.

JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MWILI BAADA YA CHANJO
Karibu katika episode ya tatu na Doctor Rafiki Katika mada yetu ya Chanjo. Episode hii tupo na mgeni Dr. Irene Mageni ambapo kwa pamoja...