Latest Episodes
UNAJUA KANSA ZA UTOTONI ZINAWEZA KUPONA? Sikiliza shuhuda
Hii podcast inazungumzia juu ya kansa za utotoni, ikiwemo uwezekano wa kupona na kuendelea na maisha yenye afya. Utasikia shuhuda kutoka kwa Kelvin Kashaija...
KWANINI JAMII IHUSISHWE KWENYE TAFITI ZA AFYA
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuna umuhimu gani wa Jamii kuhusishwa kwenye tafiti za Afya. Ungana nami Host wako Dr. Juliet...
JE UMEWAHI KUPATA WAZO LA KUJIUA? KARIBU TUZUNGUMZE
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukizungumzia suala zima la Kujiua. Ungana nami Dr. JulieT Sebba, tukizungumzia kwa kina suala hili.
2
VIPI KUHUSU MPOX KWA; WAJAWAZITO, WATOTO AU WAGONJWA WA MUDA MREFU?
Karibu kwenye doctor rafiki, wiki hii tukiendelea na mada ya Mpox, tukizungumzia katika upande wa wajawazito, watoto na wagonjwa wa muda mrefu. karibu sana...
MASWALI NA MAJIBU JUU YA UGONJWA WA MPOX
Karibu kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukijifunza kupitia maswali na majibu kuhusu ugonjwa mpya wa Mpox ukiwa daktari wako, Dr. Juliet...
FAHAMU MAMBO YA MUHIMU KUHUSU UNYONYESHAJI
Habari Rafiki, karibu kwenye episode ya leo ukiwa na Doctor Juliet Sebba, MD. Leo tunaenda kujifunza kuhusu mambo yote muhimu unayopaswa kuyafahamu kuhusu Unyonyeshaji....